Professional videographer & photographer for a wedding event

Professional videographer & photographer for a wedding event

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
Wana JF;

Jamaa yangu anasaka Kampuni au mtu binafsi mwenye uwezo wa kufanya kazi za Videographer (kurekodi motion picture) na Kupiga picha za mnato (Photographer) kwenye shughuli ya Harusi. Kazi itafanyika nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Mwenye kampuni au contacts naomba ani-PM ili kupata taarifa zaidi na mawasiliano ya kazi.

Vigezo, Uwezo na Uzoefu vitazingatiwa.

Sante
 
Mie nipo a-town, nina uwezo wa video na mnato.
 
Back
Top Bottom