TANZIA Professor Aminirabi E. N. Kweka, Provost Mstaafu wa SMMUCo amefariki dunia

TANZIA Professor Aminirabi E. N. Kweka, Provost Mstaafu wa SMMUCo amefariki dunia

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Prof. Aminirabi Erasto N. Kweka, Provost Mstaafu wa SMMUCo. Ameitwa na Bwana, Juni 8, 2024, JKCI. Mwili wake umesafirishwa kwa maziko kwenda Moshi baada ya Ibada fupi, Muhimbili Chapel.

Ayubu 1:21.
R.I.P Professor.
IMG-20240609-WA0013.jpg
 
Prof. Aminirabi Erasto N. Kweka, Provost Mstaafu wa SMMUCo. Ameitwa na Bwana, Juni 8, 2024, JKCI. Mwili wake umesafirishwa kwa maziko kwenda Moshi baada ya Ibada fupi, Muhimbili Chapel.

Ayubu 1:21.
R.I.P Professor.
View attachment 3012562
Unaandika mafumbo kana kwamba huyo unaemwandika ni mtu muhimu sana kwa watanzania wote.

Unapo toa taarifa jaribu kuweka hisia zako pembeni ili ueleweke vinginevyo hiyo post umejipostia mwenyewe.

1. Huyo ni nani?
2. Mchango wake kwa taifa ni upi?
3. Kafanya nn/kimemkuta nimi
4. Kuitwa na bwana ndio nini?
 
SMMUCo kirefu chake tafadhali
Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) is one of the Constituent Colleges of Tumaini University Makumira. The University College inherited the buildings of Masoka Management Training Institute, an institute established by the ELCT Northern Diocese in 1991, to train personnel for the Church and the nation, and taught programs leading to Certificates, Diplomas and Advanced Diplomas.

SMMUCo is a Christ-centered institution owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT), Northern Diocese. However, all students are admitted with no regard to their religion, sex, ethnic group and race. It is a Multi-campus University College with three campuses: Masoka, Mwika and Moshi Town. Masoka Campus is currently serving as the main campus of SMMUCo and there are three projected campuses: Machame, Siha and Karatu.

Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) is named in memory and honor of Stefano Reuben Moshi (1963-1976), the first Bishop of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania ELCT and founder of the Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC).
 
Back
Top Bottom