Professor Issa Gulam Hussein Shivji, Nje bunge la katiba!! Watanzania tumelogwa au.......?

Professor Issa Gulam Hussein Shivji, Nje bunge la katiba!! Watanzania tumelogwa au.......?

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
2,377
Reaction score
1,861
Heshima kwenu wana jf,
Naomba mawazo yenu katika uteuzi wa wabunge wa bunge la katiba uliofanywa jana na Mkuu wa Nchi.

Katika majina 84 toka taasisi za Elimu Tanzania Bara Rahisi aliteuwa majina 13 kama sheria inavyomtaka afanye. Ila katika hayo majina 13 ambayo ni:-
Dr. Suzan Kolimba
Dr. Natuwa Mvungi
Dr. Domitila Bashemera
Dr. Francis Micael
Dr. Tulia Ackson
Prof. betrnadeta Kilian
Hamza Mustafa Njonzi
Jina la gwiji na mkufunzi wa sheria hususani Katiba, Professor Issa Gulam Hussein Shivji (LLB,LLM,PHD) halipo.

Swali,
Ni kwamba taasisi za Elimu Tanzania bara ndio hawakulipitisha jina la huyu gwiji kati ya yale majina 84?

Au alikuwepo kwenye ile orodha ya majina 84 lakini Mh. Raisi alimuacha kwasababu anazozifahamu yeye.

Au hao wajumbe 13 waliopitishwa uwelewa wao wa mambo ya kikatiba ni wajuu zaidi ya huyu gwiji Professor Shivji?

Kama una sababu ingine tafadhali tujuze.
View attachment 137896
 
Heshima kwenu wana jf,
Naomba mawazo yenu katika uteuzi wa wabunge wa bunge la katiba uliofanywa jana na Mkuu wa Nchi.

Katika majina 84 toka taasisi za Elimu Tanzania Bara Rahisi aliteuwa majina 13 kama sheria inavyomtaka afanye. Ila katika hayo majina 13 ambayo ni:-
Dr. Suzan Kolimba
Dr. Natuwa Mvungi
Dr. Domitila Bashemera
Dr. Francis Micael
Dr. Tulia Ackson
Prof. betrnadeta Kilian
Hamza Mustafa Njonzi
Jina la gwiji na mkufunzi wa sheria hususani Katiba, Professor Issa Gulam Hussein Shivji (LLB,LLM,PHD) halipo.

Swali,
Ni kwamba taasisi za Elimu Tanzania bara ndio hawakulipitisha jina la huyu gwiji kati ya yale majina 84?

Au alikuwepo kwenye ile orodha ya majina 84 lakini Mh. Raisi alimuacha kwasababu anazozifahamu yeye.

Au hao wajumbe 13 waliopitishwa uwelewa wao wa mambo ya kikatiba ni wajuu zaidi ya huyu gwiji Professor Shivji?

Kama una sababu ingine tafadhali tujuze.
View attachment 137896
Kwa watu wanaoona mbali walishaona mchakato mzima ni ''usanii mtupu'', hivyo hawakutaka kuwa sehemu ya ''usanii''. Ni wengi hawakutaka kuwepo kwenye hilo bunge!
 
Hivi unaweza kumteua sheikh Basaleh ktk kusimamia uchinjaji wa KITIMOTO ktk mazingira masafi na salama? Je unaweza kumteua Dr. SLAA ktk ustawishaji wa kitengo cha falsafa cha CCM? Je waweza kumteua Ngombare Mwiru kuongoza kamati ya maandamo na M4C ? Je mwalimu Nyerere angeweza kuteuliwa kuongoza ajenda za kuhusu faida za mfumo wa ubepari ktk nchi zinazoendelea?
Japo wahusika ni wamebobea ktk nyanja na dhana fulani lakini ni watu wanaopinga mifumo hiyo. Kama sijakosea Profesa anayetetewa ktk bandiko hilo yeye binafsi yupo kinyume nalo je atateuliwaje ??
LETS BE ANALYTICAL ON ISSUES WAHE SHIMIWA, tujue misimamo ya wahusika kabla ya kulaumu taasisi zifanyazo maamuzi
 
nafikiri huyu nguli wa katiba ni mstaafu sasa, na amefundisha wanafunzi chuo kikuu miaka mingi na wengineo wamo katika baraza hilo, na kuandika maandiko mengi, kama hatujasikia la mkuu(shivji)kwa mihadhara,vitabu,tv appearances, nina imani kwamba yeye ameitendea haki nchi kwa kuonyesha njia,KAMA ANATUONYESHA MWEZI SISI TUNAANGALIA KIDOLE KINACHOSONTEA MWEZI,ni tatizo letu,Pili amejiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuwa analyst na kujiepusha na matusi ya nape,pengine alikataa uteuzi,wapo weengi ambao hata ujaji waliukataa,na wengine kulazimika kuukubali kama prof juma kutokana na mashinikizo
 
mpaka hapa alipokuja huyu xss lukos hii mada imeshaharibika hakuna la maana litakalochangiwa tena ,idiot
 
Usanii mtupu maccm yanajiona yenyewe kwamba mchakto Hui no wao
 
mpaka hapa alipokuja huyu xss lukos hii mada imeshaharibika hakuna la maana litakalochangiwa tena ,idiot

Mkuu usihofu, kwani inzi mmoja akitua juu ya ugali atatufanya tulale njaa?
Tunamfukuza kisha msosi unawekwa mezani
.
 
ukifanya utafiti,chukua wabunge wa ccm,changanya na wateuliwa wana ccm,kingunge,mamma khan,kimiti etc,utagundua kuna wana ccm wasio wabunge na ukijumlisha unapata robo tatu ya bunge la katiba ni ccm,kuna haja ya kwenda kwenye details za hili jambo,CUF wataingia na ajenda ya mambo mawili,zanzibar ijitegemee kwa muungano wa kwa muungano wa mkataba au katiba ya muungano itambue muundo wa utawala zanzibar kitu ambacho ccm watakikubali na hivyo kuwafanya CUF wawe upande wa ccm.USHAURI-CHADEMA IENDESHE UCHUNGUZI WA WATEULIWA ILI KUPATA IDADI YA WATU WALIOPANDIKIZWA KUHUJUMU KATIBA MPYA KISHA WAFANYE MKUTANO WA HADHARA DAR ES SALAAM KUUTANGAZIA UMMA
 
Kikwete ni mtu muungwana mno. Hongera sana kwa kazi kubwa na ya kutukuka uliyofanya
 
Kiukweli ccm inatia aibu na ni dhambi kubwa wanayoifanya kwa kubaka fura ya Watanzania wote kupata katiba tuitakayo.

Kuna huu uchambuzi uliofanywa na mkuu
politiki umeniuzunisha sana.

Hao wenye red ni wanachama hai wa ccm na kuna wengine pia.

[TABLE="class: cms_table_cms_table, align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (13)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Magdalena Rwebangira[/TD]
[TD]2. Kingunge Ngombale Mwiru[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Asha D. Mtwangi[/TD]
[TD]4. Maria Sarungi Tsehai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Paul Kimiti[/TD]
[TD]6. Valerie N. Msoka[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Fortunate Moses Kabeja[/TD]
[TD]8. Sixtus Raphael Mapunda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Elizabeth Maro Minde[/TD]
[TD]10. Happiness Samson Sengi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Evod Herman Mmanda[/TD]
[TD]12. Godfrey Simbeye[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Mary Paul Daffa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Idrissa Kitwana Mustafa[/TD]
[TD]2. Siti Abbas Ali[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Abdalla Abass Omar[/TD]
[TD]4. Salama Aboud Talib[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Juma Bakari Alawi[/TD]
[TD]6. Salma Hamoud Said[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Adila Hilali Vuai[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (13)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Tamrina Manzi[/TD]
[TD]2. Olive Damian Luwena[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Shamim Khan[/TD]
[TD]4. Mchg. Ernest Kadiva[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Sheikh Hamid Masoud Jongo[/TD]
[TD]6. Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Magdalena Songora[/TD]
[TD]8. Hamisi Ally Togwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Askofu Amos J. Muhagachi[/TD]
[TD]10. Easter Msambazi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Mussa Yusuf Kundecha[/TD]
[TD]12. Respa Adam Miguma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Prof. Costa Ricky Mahalu[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Sheikh Thabit Nouman Jongo[/TD]
[TD]2. Suzana Peter Kunambi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu[/TD]
[TD]4. Fatma Mohammed Hassan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Louis Majaliwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]6. Yasmin Yusufali E. H alloo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Thuwein Issa Thuwein[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VYAMA VYOTE VYA SIASA
VYENYE USAJILI WA KUDUMU – (WAJUMBE 42)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (28)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Hashim Rungwe Spunda[/TD]
[TD]2. Thomas Magnus Mgoli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Rashid Hashim Mtuta[/TD]
[TD]4. Shamsa Mwangunga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Yusuf S. Manyanga[/TD]
[TD]6. Christopher Mtikila[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Bertha Ng'angompata[/TD]
[TD]8. Suzan Marwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Dominick Abraham Lyamchai[/TD]
[TD]10. Mbwana Salum Kibanda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Peter Kuga Mziray[/TD]
[TD]12. Isaac Manjoba Cheyo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Dr. Emmanuel John Makaidi[/TD]
[TD]14. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15. Modesta Kizito Ponera[/TD]
[TD]16. Prof. Abdallah Safari[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17. Salumu Seleman Ally[/TD]
[TD]18. James Kabalo Mapalala[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19. Mary Oswald Mpangala[/TD]
[TD]20. Mwaka Lameck Mgimwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21. Nancy S. Mrikaria[/TD]
[TD]22. Nakazael Lukio Tenga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]23. Fahmi Nasoro Dovutwa[/TD]
[TD]24. Costantine Benjamini Akitanda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25. Mary Moses Daudi[/TD]
[TD]26. Magdalena Likwina[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]27. John Dustan Lifa Chipaka[/TD]
[TD]28. Rashid Mohamed Ligania Rai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (14)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Ally Omar Juma[/TD]
[TD]2. Vuai Ali Vuai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Mwanaidi Othman Twahir[/TD]
[TD]4. Jamila Abeid Saleh[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Mwanamrisho Juma Ahmed[/TD]
[TD]6. Juma Hamis Faki[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Tatu Mabrouk Haji[/TD]
[TD]8. Fat –Hiya Zahran Salum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Hussein Juma[/TD]
[TD]10. Zeudi Mvano Abdullahi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Juma Ally Khatibu[/TD]
[TD]12. Haji Ambar Khamis[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Khadija Abdallah Ahmed[/TD]
[TD]14. Rashid Yussuf Mchenga[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





[TABLE="class: cms_table_cms_table, align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Dr. Suzan Kolimba[/TD]
[TD]2. Prof. Esther Daniel Mwaikambo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Dr. Natujwa Mvungi[/TD]
[TD]4. Prof. Romuald Haule[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Dr. Domitila A.R. Bashemera[/TD]
[TD]6. Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Prof. Bernadeta Kilian[/TD]
[TD]8. Teddy Ladislaus Patrick[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Dr. Francis Michael[/TD]
[TD]10. Prof. Remmy J. Assey[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Dr. Tulia Ackson[/TD]
[TD]12. Dr. Ave Maria Emilius Semakafu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Hamza Mustafa Njozi[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Makame Omar Makame[/TD]
[TD]2. Fatma Hamid Saleh[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Dr. Aley Soud Nassor[/TD]
[TD]4. Layla Ali Salum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Dkt. Mwinyi Talib Haji[/TD]
[TD]6. Zeyana Mohamed Haji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Ali Ahmed Uki[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]WATU WENYE ULEMAVU-(WAJUMBE 20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (13)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Zuhura Musa Lusonge[/TD]
[TD]2. Frederick Msigala[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Amon Anastaz Mpanju[/TD]
[TD]4. Bure Zahran[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Edith Aron Dosha[/TD]
[TD]6. Vincent Venance Mzena[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Shida Salum Mohamed[/TD]
[TD]8. Dr. Henry Mwizengwa Nyamubi.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Elias Msiba Masamaki[/TD]
[TD]10. Faustina Jonathan Urassa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Doroth Stephano Malelela[/TD]
[TD]12. John Josephat Ndumbaro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Ernest Njama Kimaya[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Haidar Hashim Madeweyya[/TD]
[TD]2. Alli Omar Makame[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Adil Mohammed Ali[/TD]
[TD]4. Mwandawa Khamis Mohammed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Salim Abdalla Salim[/TD]
[TD]6. Salma Haji Saadat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Mwantatu Mbarak Khamis[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VYAMA VYA WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (13)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Honorata Chitanda[/TD]
[TD]2. Dr. Angelika Semike[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Ezekiah Tom Oluoch[/TD]
[TD]4. Adelgunda Michael Mgaya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Dotto M. Biteko[/TD]
[TD]6. Mary Gaspar Makondo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Halfani Shabani Muhogo[/TD]
[TD]8. Yusufu Omari Singo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Joyce Mwasha[/TD]
[TD]10. Amina Mweta[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Mbaraka Hussein Igangula[/TD]
[TD]12. Aina Shadrack Massawe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Lucas Charles Malunde[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (6)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Khamis Mwinyi Mohamed[/TD]
[TD]2. Jina Hassan Silima[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Makame Launi Makame[/TD]
[TD]4. Asmahany Juma Ali[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Mwatoum Khamis Othman[/TD]
[TD]6. Rihi Haji Ali[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAFUGAJI-(WAJUMBE 10)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. William Tate Olenasha[/TD]
[TD]2. Makeresia Pawa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Mabagda Gesura Mwataghu[/TD]
[TD]4. Doreen Maro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Magret Nyaga[/TD]
[TD]6. Hamis Mnondwa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Ester Milimba Juma[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (3)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Said Abdalla Bakari[/TD]
[TD]2. Mashavu Yahya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Zubeir Sufiani Mkanga[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAVUVI –(WAJUMBE 10)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Hawa A. Mchafu[/TD]
[TD]2. Rebecca Masato[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Thomas Juma Minyaro[/TD]
[TD]4. Timtoza Bagambise[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Tedy Malulu[/TD]
[TD]6. Rebecca Bugingo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Omary S. Husseni[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (3)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Waziri Rajab[/TD]
[TD]2. Issa Ameir Suleiman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Mohamed Abdallah Ahmed[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]





[TABLE="class: cms_table_cms_table, align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VYAMA VYAWAKULIMA-(WAJUMBE 20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (13)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Agatha Harun Senyagwa[/TD]
[TD]2. Veronica Sophu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Shaban Suleman Muyombo[/TD]
[TD]4. Catherine Gabriel Sisuti[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Hamisi Hassani Dambaya[/TD]
[TD]6. Suzy Samson Laizer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Dr. Maselle Zingura Maziku[/TD]
[TD]8. Abdallah Mashausi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Hadijah Milawo Kondo[/TD]
[TD]10. Rehema Madusa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Reuben R. Matango[/TD]
[TD]12. Happy Suma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Zainab Bakari Dihenga[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (7)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Saleh Moh'd Saleh[/TD]
[TD]2. Biubwa Yahya Othman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Khamis Mohammed Salum[/TD]
[TD]4. Khadija Nassor Abdi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Fatma Haji Khamis[/TD]
[TD]6. Asha Makungu Othman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Asya Filfil Thani[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA BARA (14)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Dr. Christina Mnzava[/TD]
[TD]2. Paulo Christian Makonda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Jesca Msambatavangu[/TD]
[TD]4. Julius Mtatiro[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Katherin Saruni[/TD]
[TD]6. Abdallah Majura Bulembo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7. Hemedi Abdallah Panzi[/TD]
[TD]8. Dr. Zainab Amir Gama[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9. Hassan Mohamed Wakasuvi[/TD]
[TD]10. Paulynus Raymond Mtendah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11. Almasi Athuman Maige[/TD]
[TD]12. Pamela Simon Massay[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13. Kajubi Diocres Mukajangwa[/TD]
[TD]14. Kadari Singo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]TANZANIA ZANZIBAR (6)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Yussuf Omar Chunda[/TD]
[TD]2. Fatma Mussa Juma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Prof. Abdul Sheriff[/TD]
[TD]4. Amina Abdulkadir Ali[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5. Shaka Hamdu Shaka[/TD]
[TD]6. Rehema Said Shamte
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Kwani yeye ni nani? Acheni uzushi bana. Big up jk kwa uteuzi makini

Huyo ni Gwiji la sayansi ya sheria hususani katiba. Mchango wake ni mkubwa sana kwa Taifa hasa kipindi hiki katika kuyaframe mawazo ya Watanzania na kujadiliana jisi ya kuupata muundo wa kuandika katiba mpya.

Mkuu acha ushabiki kwenye mambo ya msingi wewe.
 
Back
Top Bottom