Professor J katoa nyimbo mpya baada ya kimya cha muda mrefu

Professor J katoa nyimbo mpya baada ya kimya cha muda mrefu

tuwekee mistareee hapa, wengine tnatumia sim banaa!
 
Prof. J. ni matunda ya Mr. II sugu, huu wimbo uko zaidi kama kamwimbia sugu ila una
maudhui maizuri.
 
Back
Top Bottom