Yahp ana ego fulani hivi inamsumbua sana.. akijicheki alipo prof j na alipo yeye nadhani inamtatiza ukizingatia yeye ndo kaplay part kubwa kwenye ngoma nyingi za jay..(nadhani ni msanii aliyefanya kazi nyingi na p funk).. wivu fulani hivi..Mimi nilishafika mpaka studio yake Masaki na washkaji, nikakaa naye sana, nikaona swag lake stratospheric kama yupo Compton or something.
Mkuu nadhani inadepend hilo biti lilitengenezwa kabla ya msanii kutoa melody ya nyimbo au ndo ile msanii kalikuta biti studio(hapa bila shaka ni mali ya producer).. ila mara nyingi ni mali ya producer...Nimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.
Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Atakuwa kavuta kitu cha Malawi...sio kwa kupanic hivyo..Sasa Prof J kakosea nini hapo ? Au kuna lingine zaidi ya hili ?
Majani naye sijui kavuta bangi ya wapi leo kakurupuka tu
Masikini Paula,nilidhan tatizo ni Mama kumbe inawezekana ikawa Baba.
Sure, ukisoma bandiko la Jay kuna info flani inawasilisha kijanja, hiyo ni zaidi ya kuweka kumbukumbu sawa. Ni Kama vile anawaambia Cosota namna hawajazingatia gawio lake, kwa upande wa Majani nae kazingua, katumia nguvu nyingi Sana so anafanya kile ambacho Jay alikitakaNimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.
Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Ok tufanye wewe ndo Prof alafu unaambiwa umevuta 100 sasa unataka kukanusha ungesemaje ili usilete mvutano.Sure, ukisoma bandiko la Jay kuna info flani inawasilisha kijanja, hiyo ni zaidi ya kuweka kumbukumbu sawa. Ni Kama vile anawaambia Cosota namna hawajazingatia gawio lake, kwa upande wa Majani nae kazingua, katumia nguvu nyingi Sana so anafanya kile ambacho Jay alikitaka
Nimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.
Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
Majani hajakanusha alichosema Prof. Na Prof hajalalamika, ameweka rekodi sawa nani kapata nini.
Mbona kama Majani anawaka bila msingi?
Au kuna vita zaidi nyuma ya pazia?