jajuu
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 349
- 535
Yahp ana ego fulani hivi inamsumbua sana.. akijicheki alipo prof j na alipo yeye nadhani inamtatiza ukizingatia yeye ndo kaplay part kubwa kwenye ngoma nyingi za jay..(nadhani ni msanii aliyefanya kazi nyingi na p funk).. wivu fulani hivi..Mimi nilishafika mpaka studio yake Masaki na washkaji, nikakaa naye sana, nikaona swag lake stratospheric kama yupo Compton or something.