X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
..Prof.Shaba alihamia Marekani baada ya kustaafu miaka ya mwisho ya 90.
..Sokoine alifariki mwaka 1984. Kwa hiyo miaka mingi ilipita tangu Sokoine afariki na Prof.Shaba alipohama kwenda Marekani.
..Na Prof.Shaba alihamia Marekani kwasababu watoto wake wanaishi na kufanya kazi huko.
asante kwa ufafanuzi...! ila kwa nijuavyo mimi product za Nyerere zilikuwa zinapindisha sana mambo...
nilisoma sehemu kuwa Benzi wenyewe walitaka kuja kufanya uchunguzi wa ile ajari lakini Nyerere aliwagomea. hii inanifanya niamini kuwa pengine professor hakutoa ripoti ya ukweli...!
nilisoma sehemu kuwa Benzi wenyewe walitaka kuja kufanya uchunguzi wa ile ajari lakini Nyerere aliwagomea. hii inanifanya niamini kuwa pengine professor hakutoa ripoti ya ukweli...!