TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

asante kwa ufafanuzi...! ila kwa nijuavyo mimi product za Nyerere zilikuwa zinapindisha sana mambo...

nilisoma sehemu kuwa Benzi wenyewe walitaka kuja kufanya uchunguzi wa ile ajari lakini Nyerere aliwagomea. hii inanifanya niamini kuwa pengine professor hakutoa ripoti ya ukweli...!​
 
No I don't real know but kwasababu nimekaa newsroom for more than 30 years, watu wengi ninawajua kupitia habari ikiwemo kufanya interview za one on one na marais wote 6!. Nyerere ni baada ya kustaafu, na Mama akiwa Waziri.

P
Hata mimi ushawahi nifanyia interview sehemu fulani ngoja nijiaminishe one day yes!!
 
To the sewers, where you belong!
 
Yalopita si ndwele tugange yajayo.

Ila PM ya prof ilikuwa clear bila chengachenga.

Ni miaka 39 imepita so let’s move on.
 

..Watz tuna tabia ya kuchukua ukweli na kukimbilia uongo na uzushi.

..Kunapotokea misiba Watz wengi huachana na uhalisia wa jinsi kifo kilivyotokea na kukimbilia kuhusisha kifo na mambo ya uchawi au foul play.

..Vifo vya Nyerere, Sokoine, Magufuli, vyote tunaambiwa ni mkono wa mtu. Ndio utamaduni wetu Watz.

Cc Nguruvi3
 
EeeenHeeeee!
Unajua maana ya 'research' wewe?
Nilisema sitaki kupoteza muda na kenge wa aina yako. Inatosha.
Wewe ni bwege na ni mpumbavu wa kiwango cha tope la Hanang. Unaongea ujinga ujinga tu hapa.

Waziri mkuu wa kwanza wa Tanganyika ni Nyerere

Waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania ni Mkwawa
 
Wewe ni bwege na ni mpumbavu wa kiwango cha tope la Hanang. Unaongea ujinga ujinga tu hapa.

Waziri mkuu wa kwanza wa Tanganyika ni Nyerere

Waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania ni Mkwawa
Kumbe wew ni bwege kuliko hata nilivyo dhani mwanzo?
Hata hivyo, nakuacha na ubwege wako mwenyewe. Usiendelee kunipotezea muda wangu.
 
Ndo ilivyo na ndomana serikali ilivotaka kumwondoa kwenye nyumba akawambia mjichanganye nitasema kilakitu kuhusu kifo cha sokoine , gvt ikafyata
 
..Watz tuna tabia ya kuchukua ukweli na kukimbilia uongo na uzushi.
Watanzania ni wazuri sana wa jambo hili
..Kunapotokea misiba Watz wengi huachana na uhalisia wa jinsi kifo kilivyotokea na kukimbilia kuhusisha kifo na mambo ya uchawi au foul play.

..Vifo vya Nyerere, Sokoine, Magufuli, vyote tunaambiwa ni mkono wa mtu. Ndio utamaduni wetu Watz
Nyerere alifahamu kuhusu Leukemia miaka 5 kabla ya kifo chake.

Sokoine yamesemwa mengi lakini hakuna anyekuja na proof, infact umeeleza kuhusu mila na watoto wake
Tuliwahi kusikia aliyefanya 'post mortem' aliuawa, lakini tunajua ni Prof . Shaba. kukimbia ukweli tu

Magufuli alikuwa na pace maker kuanzia UDSM kuna gazeti limeweka wazi akichangiwa UDSM.

Akiwa waziri wa ujenzi aliwahi kukimbizwa Ujerumani kwasababu hizo hizo tukaambiwa alipewa sumu.
covid ilipoanza alihamia '' Chato' na kupotea miezi kwa ushauri wa Madaktari. Ilijulikana matatizo ya moyo yakichagizwa na Covid ni tatizo kubwa . Magufuli akakaidi ushauri na kurudi Dar akipitia mikoa yote kwa gari na mikutano ya hadhara. Maafisa wa Ikulu walifariki, Magufuli alijua hali si shwari.

Leo tunaelezwa nadharia za uongo kukimbia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…