Professor Jay afika Mahakamani kusikiliza kesi ya Tundu Lissu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu

Salamu aliyoitoa Boni yai kwa Lema na namna Lema alivyokuwa anaangalia vinaongea zaidi kuliko watu hao wakiongea.
 
Masikini, very sad. Kumbe brother bado hajarudi sawa kiafya aisee? Dah!!dunia hii, kweli hujafa hujaumbika na ya kesho hatuyajui.
Polee sana Joseph Haule
 
Back
Top Bottom