Hongera kwake,Mungu ambariki,Kuna likiongozi fulani la Chadema lipo hapohapo Dar haliendi mahakamani ila vikao vya Dodoma linaenda
Tapeli la kimachame!Hongera kwake,Mungu ambariki,Kuna likiongozi fulani la Chadema lipo hapohapo Dar haliendi mahakamani ila vikao vya Dodoma linaenda
Sir makengezaBoni yai au
Sir makengeza
Salamu aliyoitoa Boni yai kwa Lema na namna Lema alivyokuwa anaangalia vinaongea zaidi kuliko watu hao wakiongea.Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu