Professor Jay: Madingi wapunguzwe BASATA, wataua muziki

Naona baadhi mnatoa lawama kwa Shonza ila kumbukeni Shonza yupo pale kwa kuongozwa na sheria,kanuni na taratibu za nchi.

Kwaiyo awezi kutoka nje ya mstari kwa vitu nilivyovitaja,tuseme sheria na kanuni zimepitwa na wakati na pia nakubaliana Profesa Jay kunatakiwa kuchanganya damu changa na za zamani pale BASATA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…