Professor Jay: Nipo kamiligado tayari kwa mapambano

Professor Jay: Nipo kamiligado tayari kwa mapambano

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia wengi.
1726155642306.png
"Asante sana Mungu kwa zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za maisha yangu. Nipo kamiligado tayari kwa mapambano"
1726155701917.png

Soma pia:
=> Rais Samia achangia mamillioni ya pesa taasisi ya profesa Jay Foundation, atoa maagizo mazito kwa Wizara ya Afya na Muhimbili
=> Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…
=> Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali
 
Kila la heri J. Miaka mingi zaidi kwako mkuu.

Wewe ndio ulifanya nikaujua na kuupenda muziki wa bongo Flava hasa albamu yako ya Machozi, Jasho na Damu.

Kwenye ngoma ya Jina langu ulisema wazi kabisa kwamba wengi wanakupenda wachache wahawkupendi. Hao wachache ndio wanKusingizia kifo, wapuuze tu mkuu.
 
Shukrani za dhati kwa madaktari waliompa tiba, manesi waliohudumu, ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki waliomsaidia kifedha na hali pia shukrani na heshima ziandamane nanyi.

Mliomuombea na kumsalia bila kufanya lolote hapo juu, practically hamna mchango wowote kwake, mlijifariji tu.
😊
#jiwe
 
Back
Top Bottom