G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Huyu ni chawa kitambo kingi. Sisi tunamzungumzia huyo dayaspora mstaafu aliyekaa ughaibuni tena America akaoa Engineer mnyarwanda then anarudi bongo baada ya miaka kibao kuja kubeba mabendera na Madee. Ukiwaona huko mikoani ni fedheha tupu. Wanajiita vijana wa Samia. Na project kamuungia swahiba wake FAMbona "Madee Ally "-Seneda, yupo CCM ila yeye hawamsimangi