Professor Lipumba: Kila Mtanzania apewe $ 1000 za gas.

Mkivuna mapesa kwenye natural resources zenu, sio dhambi kuwapatia wananchi dividends kama Alaska wanavyofanya.
Lipumba hajakurupuka tu, anajua anachoongea

Lipi zuri, tumpe hela mkononi na aendelee kukosa maji au tumletee bomba la maji apate afuaeni ya maji. Au tumpe hard cash akalipe deni la DECI/SACCOS au tupeleke umeme vijijini watu wafungue viwanda vya kusindika alizeti huko huko waliko?
 
Mpe vyote, dividends, mjengee infrastructure etc. Hata Alaska wametoa dividends huku wakiendelea kujenga na kuimprove infrastructure. Si kwamba Alaska wametoa dividends na kila kitu kimesimama!
 
Mpe vyote, dividends, mjengee infrastructure etc. Hata Alaska wametoa dividends huku wakiendelea kujenga na kuimprove infrastructure. Si kwamba Alaska wametoa dividends na kila kitu kimesimama!

Lazima tuanze na kimoja, achana na mifano ya Alaska, tuko Bongo ambako kuna sehemu ndani ya nchi yetu fisi ni tishio,eti fisi kala mtu,maji ya kunywa hakuna, tuko Bongo ambako kuna sehemu watu wanatembea kilomita 20 kwa mguu kila siku kwenda shule,tuko hapa Bongo ambapo Wilaya nzima haina umeme, tupo Bongo ambapo kata fulani tena nyingi tu hazina vituo vya afya. Kugawana sipingi, nasema kwa hali tuliyo nayo bora tugawane kupitia maboresho ya hali zetu.
 
Kiukweli mh. Lipumba katika hili ni sawa kabisa kwani ameona jinsi gani mojawapo ya matatizo ya ujamaa yanavyoathiri wananchi.ni jambo la busara kwa sasa kwa watawala kuwapatia watu wake direct-fund kutokana na rasilimali zilizopo,hili linawezekana kabisa.cha msingi ni yeye mh.kuandaa namna ya kuishauri serikali kitaalamu ili ikiwezekana angalau pawepo na majaribio angalau kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
 
Hiyo cash ya kuwapa individuals si bora tukajenge hospitali,barabara au shule.
 
Maprofesa wa Bongo,elimu zao ziko kwenye makabrashaa tu,inabidi wawe wahadhiri vyuo vikuu,na cio kupata uongozi wa nchi,
1.Sospeter Mhongo
2.Jumanne maghembe
3. Mark mwandosya, na wengineo, hawajasaidia lolote kwenye nchi yetu,hata wizara zao wanaboronga,,
 
it can be done, msiogope, tatizo mnakomaa na uchumi wa profesa ossoro, think creatively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…