Mkivuna mapesa kwenye natural resources zenu, sio dhambi kuwapatia wananchi dividends kama Alaska wanavyofanya.
Lipumba hajakurupuka tu, anajua anachoongea
Lipi zuri, tumpe hela mkononi na aendelee kukosa maji au tumletee bomba la maji apate afuaeni ya maji. Au tumpe hard cash akalipe deni la DECI/SACCOS au tupeleke umeme vijijini watu wafungue viwanda vya kusindika alizeti huko huko waliko?