Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo

Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama Ngwaru Maghembe MBUNGE wa bunge la Africa mashariki kwa Sasa ni mmoja wa wagombea ubunge jimboni Mwanga anayepigiwa upatu na Shekh ili apite dhidi ya wapinzani wake John Mbaga na MBUNGE alomaliza mda wake bwana Joseph Tadayo ambao inaonekana hawafai kwajili ya dini Yao.

Mgombea huyu Ngwaru Maghembe amekuwa akitoa misaada MBALI MBALI kusaidia taasisi za BAKWATA jimboni humo Hali inayotafsiriwa kuwa ni mbinu chafu za udini
 
Thibitisha
Soma kitabu"kanisa katoliki na siasa za Tanzania" cha Dr.John Sivalon.

Niliwai kusimuliwa na Shee Kijuu alikua secretary wa ofisi ya shee mkuu wa Bakwata mkoa fulani,namna alivyokua akifika mara kwa mara ofisi ya katibu mkuu wa Tech kipindi hicho Dr.Slaa kuchukua Docment flani za Bakwata zilizohifadhiwa kwenye ofisi ya Tech Kurasini.
 
Hawa wazee wanafanya mambo ya aibu...Hii siyo chiefdom...Naona sehemu nyingi Hawa wazee wameanza kuwarithisha watoto wao nafasi za maamuzi kupitia siasa...Very mean people! Sisi baba zetu wangefanya haya Leo hata hizo nafasi wasingezikuta...Kizazi Cha Nyerere kilikuwa na self respect hiki Cha akina Hawa waliosomeshwa Bure na kupewa nafasi bila ushindani ndiyo wanatuharibia nchi Kwa sasa
 
Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo

Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama Ngwaru Maghembe MBUNGE wa bunge la Africa mashariki kwa Sasa ni mmoja wa wagombea ubunge jimboni Mwanga anayepigiwa upatu na Shekh ili apite dhidi ya wapinzani wake John Mbaga na MBUNGE alomaliza mda wake bwana Joseph Tadayo ambao inaonekana hawafai kwajili ya dini Yao.

Mgombea huyu Ngwaru Maghembe amekuwa akitoa misaada MBALI MBALI kusaidia taasisi za BAKWATA jimboni humo Hali inayotafsiriwa kuwa ni mbinu chafu za udini
Samaki huanzia kupoza toka kichwani, nikikumbuka Mzee Msuya alivyoacha kugombea ndio ikapendekezwa Magembe ampokee Mzee bila kujali dini yake, iweje Leo Dini itumike??

Au ndio imekuwa Sera yetu , tunataka kuwa kama Nigeria? Haya ndio madhara ya akili Mdogo kutawala akili kubwa
 
Kuweni na amani, hata Moshi mjini,Kuna mtia nia ,ambaye ananunua mazishi, na kusaidia Bakwata,naye ni dini hiyo hiyo,ila jina halitarufishwa.

CCM sio wajinga kiasi hicho!
 
Upare yote Kuna udini wa kijinga mathalan usipokuwa Msabato hutoboi Same mjini.
Kweli hayo? Usipookuwa muislamu unaweza kutoboa Pemba na Unguja?
Kuna vitu vingine tukubali wengi wape maana ni Demokrasia, Mtu wetu syndromes iko kila mahali kikubwa ni huyo atakayechaguliwa kutenda haki bila kubagua mtu kisa dini au dhehebu lake
 
Back
Top Bottom