Uchangiaji mwingine unakuvua nguoUsiogope Bakwata hawana cha maana.
Bakwata ilianzishwa na Nyerere ikawekwa chini ya kanisa katoliki,hata document muhimu za Bakwata zinatunzwa na kanisa katoliki Tanzania.
Sana tena.Uchangiaji mwingine unakuvua nguo
ThibitishaUsiogope Bakwata hawana cha maana.
Bakwata ilianzishwa na Nyerere ikawekwa chini ya kanisa katoliki,hata document muhimu za Bakwata zinatunzwa na kanisa katoliki Tanzania.
Propaganda tuuUchangiaji mwingine unakuvua nguo
Soma kitabu"kanisa katoliki na siasa za Tanzania" cha Dr.John Sivalon.Thibitisha
Samaki huanzia kupoza toka kichwani, nikikumbuka Mzee Msuya alivyoacha kugombea ndio ikapendekezwa Magembe ampokee Mzee bila kujali dini yake, iweje Leo Dini itumike??Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo
Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama Ngwaru Maghembe MBUNGE wa bunge la Africa mashariki kwa Sasa ni mmoja wa wagombea ubunge jimboni Mwanga anayepigiwa upatu na Shekh ili apite dhidi ya wapinzani wake John Mbaga na MBUNGE alomaliza mda wake bwana Joseph Tadayo ambao inaonekana hawafai kwajili ya dini Yao.
Mgombea huyu Ngwaru Maghembe amekuwa akitoa misaada MBALI MBALI kusaidia taasisi za BAKWATA jimboni humo Hali inayotafsiriwa kuwa ni mbinu chafu za udini
Sio same tu anzia hedaru mzee lembeniUpare yote Kuna udini wa kijinga mathalan usipokuwa Msabato hutoboi Same mjini.
Kweli hayo? Usipookuwa muislamu unaweza kutoboa Pemba na Unguja?Upare yote Kuna udini wa kijinga mathalan usipokuwa Msabato hutoboi Same mjini.