TANZIA Professor Mohabe Stephen Nyirabu Masero ametutoka alfajiri ya leo akipatiwa matibabu hospitali ya TMJ

TANZIA Professor Mohabe Stephen Nyirabu Masero ametutoka alfajiri ya leo akipatiwa matibabu hospitali ya TMJ

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Profesa wa Sayansi ya Siasa na Utawala aliyebobea Kikamilifu kwenye Masuala ya Mahusiano ya Kimataifa.

Msomi huyu alilitumika Taifa lake kwa nguvu zake zote na kwa Uzalendo mkubwa akiwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kabla ya kustaafu.

Alishirikiana na Watu wa Hali zote
Alikubalika na Watu wa Hali zote

Bwana ametoa
Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe

====

Aliyekuwa mhadhiri (Senior Lecturer)Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma,(UDSM) Prof. Mohabe Nyirabu amefariki dunia,Prof. Nyirabu anakumbukwa katika taaluma yake ya International Relations, uchambuz wa siasa za ndani na nje.

Mungu amlaze mahali pema

1606735347992.png

1606735458166.png
 
Mungu awape faraja wafiwa
 
Poleni wafiwa. Samahani tunaomba picha
 
Poleni sana ila Umahirinwakenhaujaonekana kwa hapa ndani
 
Nini tofauti ya BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA vs Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un?
matumizi ya kiimani tu na lugha iliyotumika. Mwisho wa yote ujumbe husika ni kuwa sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea.
 
Bwana ametoa
Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe
 
Back
Top Bottom