TANZIA Professor Mohabe Stephen Nyirabu Masero ametutoka alfajiri ya leo akipatiwa matibabu hospitali ya TMJ

TANZIA Professor Mohabe Stephen Nyirabu Masero ametutoka alfajiri ya leo akipatiwa matibabu hospitali ya TMJ

Nini tofauti ya BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA vs Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un?

Kwa mujibu wa Ayubu 1:21, andiko linasomeka "...Bwana alitoa, na Bwana ametwaa..." Hayo ni maneno Ayubu aliyasema baada ya kuwa amepoteza vitu vyake ikiwepo watoto wake. Alimaanisha vitu vyote alivyokua navyo vilitoka kwa Bwana, na ndie amevitwaa...ukianza mwanzo anasema alizaliwa uchi na atarudi huko uchi ( bila kitu).

Huo mwingine sina uhakika ila naona hua wanatafsiri sote tumetoka kwa Mungu na hakika tutarejea kwake.

Wajuvi watakuja kuongezea na kuweka sawa.
 
Dah hawa ni miongoni mwa watu walipofanya PS & PA Iwe kama hesabu walifanyah kuwa ngumu haswa.
Wapi dr. Bruce
 
Nyirabu huyu na yule aliyekuwa benki kuu miaka ya nyuma ni ndugu moja?

🙏🏾Mungu awape faraja ndugu na jamaa.
 
Back
Top Bottom