Professor Nabi aliyewafunga midomo wachambuzi uchwara!!

Umedai shirikisho ni mashindano ya waliong'olewa ligi ya mabingwa ndio nikakuuliza pyramid aling'olewa nae? Umeanza kushabikia mpira mwaka gani?
Kama kichwa chako haujakitikisa kika-evaporate kumbukumbu,tulikuwa tunajadili losers hupatikanaje!Hayo ya Pyramid tutafute wasaa.
 
Umbumbumbu mzigo ambao unao kwenye ubongo wako

Asante sana mkuu.
Nitajifunza uerevu kutoka kwako.

Ila sijawahi KUFUNDISHWA kutoa lugha chafu au zenye kuudhi wengine.

NB
WATENDEENI WATU YALE MNAOTAKA MTENDEWE NINYI HII NDIO TORATI NA MANABII.
 
Kama kichwa chako haujakitikisa kika-evaporate kumbukumbu,tulikuwa tunajadili losers hupatikanaje!Hayo ya Pyramid tutafute wasaa.
Unaona ulivyo mtupu kichwani wewe umezungumzia kombe la shirikisho kama washiriki wake ni maloser walitolewa ligi ya mabingwa ndio nikakuuliza pyramid na monastr na future ambao ni washiriki wa kombe la shirikisho walitolewa na nani mpaka wakaangukia huku?
 
Niliwahi hadithiwa tu.Nasikia mnatandikwa hadi bakora za shingoni.Ntafuatilia hilo.Umeona nilivyoanza kujibu?Sijaanza na ndiyo,hapana,sijui au yote sawa lakini unaelewa.
Sasa kwa akili yako bakora inapigwaje shingoni ndio maana nakuambia wewe ni mtupu kichwani kitimoto inakuharibu akili
 
Angalia sasa!Kuna wanaopangwa kutokana na nafasi walizoshika kwenye ligi zao nyumbani.Na kuna wenzangu na mimi walioshindwa gwaride kwenye ligi ya mabingwa na kutupiliwa shirikisho kule.Hao wa pili ndiyo "ma-losers" sasa.Sasa umeelewa?Naamini timu yako haipo huko.
 
kwahiyo kila anaetolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa huwa anashiriki hayo mashindano ya shirikisho?
 
NABI SIO PROFESSOR.

NAOMBA TAALUMA ZA WATU ZIHESHIMIWE.

KAMA HUTOJALI UNAWEZA KUBADILISHA HEADING NDIPO WAUNGWANA TUSOME BANDIKO LAKO.

#usipotoshe.

MTAIFAHAMU KWELI NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU.
yohana 8:32
Mkuu nilipoona unajiita "CAPO DELGADO" angalau unauelewa japo kidogo na hiyo lugha, nikwambie tu kwa mujibu wa lugha ya Kireno au Spanish PROFESSOR maana yake ni Mwalimu na hakuna zaidi ya hapo ila hizi nchi zetu ndiyo zimeweka ugumu juu ya huo msamiati ila kiuhalisi hata mwalimu wa Msingi unaweza kumuita hivyo.
Kwahiyo Nabi kuitwa hivyo wala usiumie Moyo sana maana anastahili kwa nafasi yake
 
Sasa kwa akili yako bakora inapigwaje shingoni ndio maana nakuambia wewe ni mtupu kichwani kitimoto inakuharibu akili
Usipanic!Shuleni)madrasa haukufundishwa misemo,nahau,mitindo,methali na vitu kama hivyo?Kwa mfano mtu akisema "kaenda mwayo",wewe unadhani kuna sehemu inaitwa mwayo ndiyo kaenda?Au akisema "amepiga funda" ndiyo unadhani kuna mtu anaitwa funda kapigwa na kuumizwa?Lugha,lugha ndugu!
 
Unajua kinachofundishwa madrasa?
 
kwahiyo kila anaetolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa huwa anashiriki hayo mashindano ya shirikisho?
Inategemea na huyo loser alifikia/alikuta ligi ya losers ilifikia wapi.Kuna ukomo wa kutupwa huko.Unaweza ukarudi tu nyumbani kuchunga mbuzi.
 
Inategemea na huyo loser alifikia/alikuta ligi ya losers ilifikia wapi.Kuna ukomo wa kutupwa huko.Unaweza ukarudi tu nyumbani kuchunga mbuzi.
Kwahiyo kumbe kunakuwa na vigezo vyake...kwahiyo kumbe sio kila mtu anasifa za kushiriki
 
Kwahiyo kumbe kunakuwa na vigezo vyake...kwahiyo kumbe sio kila mtu anasifa za kushiriki
Sahihi.Sifa zipo.Timu legelege itolewayo mabingwa(walioonekana unfit kuendelea)mwanzomwanzo hutupiliwa mbali kule losers cup.Ila wale watakaoonesha ukakamavu hadi kiwango fulani,hupewa kifuta jasho na kuendelea na mambo mengine.Ndiyo sifa ya loser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…