Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Majibu yanakuwa matatu tu, ndio,hapana na sijuiKuna majibu ukipewa unatakiwa uwe unajiongeza.Ukitaka unipe maswali ya kuniongoza nijibu utakacho bila kuacha neno utakwama.Najibu kadiri ya majibu yalivyo.