Professor Nabi aliyewafunga midomo wachambuzi uchwara!!

Na hao hao unaowaita ni uchwara pamoja na nyie ndio utopwenga msiojua njia za mpira mlisema na kuapia kabisa eti Simba hawatatoboa kundi lao baada ya kupigwa 3 bila na raja kwahoja kuwa ina wavhezaji wazee.

Cha ajabu wazee hao hao ndio wameisaidia timu kutoboa robo fainali tena clabu bingwa sio shirikisho.

Acheni kukariri vyura nyieeeeee
 
Ulichokiandika ni sahihi.Au una swali ndani ya hiyo sentensi?
kila mmoja kabakiza michezo 6 amalize ligi na mechi iliyopo mbele ya yanga kwenye ligi kuu ni dhidi ya simba sasa kwa akili yako unataka alegeze ili mbeleni acheze kwa pressure kali dhidi ya prison na mbeya kwanza?
 
kila mmoja kabakiza michezo 6 amalize ligi na mechi iliyopo mbele ya yanga kwenye ligi kuu ni dhidi ya simba sasa kwa akili yako unataka alegeze ili mbeleni acheze kwa pressure kali dhidi ya prison na mbeya kwanza?
Haitosababisha kushindwa akiamua.Ninalokuasa,usiwekeze akili zote kuifunga Simba halafu za maendeleo mengine umeacha bwawani Jangwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli tupu.
 
you nailed it all, wamekaa kimya tu sasa hvi hawana cha kusema!wanatamani kumponda wanashindwa!wakikumbuka kaipeleka YANGA robo final tena kwa mpira mkubwa sana hawana hamu!wamebakia kusema anashiriki kombe la loosers etc!makolo bana kweli ulibwanji
 
super star wa yanga ni mayele na aziz ki, hakuna timu duniani inayokuwa haina key players,lazima timu iwe nawachezaji inaowategemea....pale yanga ukimtoa mayele diarra job na bangala hakuna timu tena pale
Na simba ukimtoa Nani wewe msimbe wa kiume
 
Nawe unaamini kweli mashabiki wa Simba waache mambo yao waanze kumkataa kocha asiyewahusu?Kuntu kwa Haji Manara kuhusu watu wawili tu.
Kama wewe umemuamini Manara, mchukue akawe Msemaji Mkuu wa familia yako, usitupangie Mabingwa wako YANGA FC wa kumuamini, kwani Mipang'ang'a mnawashwa nini haswa na yasiyowahusu?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeandika ukweli mtupu. Na ulipost kabla hatujampa msako wa mwaka mwarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…