Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Hata kupiga danadana haujuiWewe loser,tulia.Unanipotezea muda.
Kwanza jifunze kuandika kwa kanuni.Unaandika kama kitoto cha darasa la awali.Utachukua kombe bila kushiriki kucheza kwa hatua hayo mashindano?Acha kujipa jina kubwa wakati wewe ni mkebe tu.Heshima ya timu yoyote duniani ni kubeba Kombe Wala sio kushiriki mashindano au kufika robo final au kuitwa kushiriki super cup, au kuwa kwenye rank nzuri acha ujinga wachezaji wanapambana na kuvuja jasho uwanjani lengo lao kuu kunyanyua ndoo na inabaki kwenye historia ya timu yao milele, mchezaji akisajiliwa anapitishwa kwenye makabati aone makombe waliyobeba waliomtangulia Sasa ninyi mambumbumbu sijui mtaonesha assist za Chama na ranking za CAF au mtaonesha kufika robo final mara tatu au mtaonesha kushiriki super cup? Tukiwaambia ninyi ni mambumbumbu mlioshindikana mnabisha, mnajiweka level za juu eti sawa na Al Ahly hayo ni matusi na kuunajisi mpira wa miguu[emoji28][emoji28][emoji1787]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Uliwahi kuona tajiri anahangaika kupigapiga danadana mipira?Anaangalia tu vimbwenerehi kama ninyi ili awape mapesa!Hata kupiga danadana haujui
Kwahiyo wewe ni tajiri?Uliwahi kuona tajiri anahangaika kupigapiga danadana mipira?Anaangalia tu vimbwenerehi kama ninyi ili awape mapesa!
Umeenda madrasa?Wahi usije tandikwa viboko vya kichwani.Kwahiyo wewe ni tajiri?
Umeenda madrasa?Wahi usije tandikwa viboko vya kichwani.
Umeniona wapi,lini,saa ngapi nauma niumacho?Kwani ukiona neno tajiri unalichukuliaje?Mbona umetaharuki sana?Nimekuuliza wewe ni tajiri wa nini unajiuma uma
Nimekuuliza wewe ni tajiri badala ujibu nilichokuuliza unaanza vipi umeenda madrasa kupigwa vibokoUmeniona wapi,lini,saa ngapi nauma niumacho?Kwani ukiona neno tajiri unalichukuliaje?Mbona umetaharuki sana?
Unapenda kuandikaanika sana.Umepata staftahi wewe loser?Tuonane baadaye kidogo.Nimeitwa nikasimamie kuhesabu bilioni moja na milioni mia tano pale Msimbazi.Ni kazi kubwa sana.Naamini tutachoka sana kuzihesabu.Baadaye kidogo,loser!Nimekuuliza wewe ni tajiri badala ujibu nilichokuuliza unaanza vipi umeenda madrasa kupigwa viboko
Kwanini umtoe sasa? Ili iwaje?super star wa yanga ni mayele na aziz ki, hakuna timu duniani inayokuwa haina key players,lazima timu iwe nawachezaji inaowategemea....pale yanga ukimtoa mayele diarra job na bangala hakuna timu tena pale
UtahiralismJitahidi ukaze mishipa ya makakio uache ujinga.