Professor Nabi aliyewafunga midomo wachambuzi uchwara!!

Professor Nabi aliyewafunga midomo wachambuzi uchwara!!

Heshima ya timu yoyote duniani ni kubeba Kombe Wala sio kushiriki mashindano au kufika robo final au kuitwa kushiriki super cup, au kuwa kwenye rank nzuri acha ujinga wachezaji wanapambana na kuvuja jasho uwanjani lengo lao kuu kunyanyua ndoo na inabaki kwenye historia ya timu yao milele, mchezaji akisajiliwa anapitishwa kwenye makabati aone makombe waliyobeba waliomtangulia Sasa ninyi mambumbumbu sijui mtaonesha assist za Chama na ranking za CAF au mtaonesha kufika robo final mara tatu au mtaonesha kushiriki super cup? Tukiwaambia ninyi ni mambumbumbu mlioshindikana mnabisha, mnajiweka level za juu eti sawa na Al Ahly hayo ni matusi na kuunajisi mpira wa miguu[emoji28][emoji28][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwanza jifunze kuandika kwa kanuni.Unaandika kama kitoto cha darasa la awali.Utachukua kombe bila kushiriki kucheza kwa hatua hayo mashindano?Acha kujipa jina kubwa wakati wewe ni mkebe tu.
 
Nimekuuliza wewe ni tajiri badala ujibu nilichokuuliza unaanza vipi umeenda madrasa kupigwa viboko
Unapenda kuandikaanika sana.Umepata staftahi wewe loser?Tuonane baadaye kidogo.Nimeitwa nikasimamie kuhesabu bilioni moja na milioni mia tano pale Msimbazi.Ni kazi kubwa sana.Naamini tutachoka sana kuzihesabu.Baadaye kidogo,loser!
 
super star wa yanga ni mayele na aziz ki, hakuna timu duniani inayokuwa haina key players,lazima timu iwe nawachezaji inaowategemea....pale yanga ukimtoa mayele diarra job na bangala hakuna timu tena pale
Kwanini umtoe sasa? Ili iwaje?
 
[emoji117]Robertinho wa Simba SC alijaribu hii kitu siku Moja baada ya mechi kumkataa Chama, weee[emoji38] walimwambia akirudia tena ajue Pasaka itamkuta kwao Brazil[emoji1787][emoji1787]




[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom