DOKEZO Proffesa Mkenda, waziri wa elimu ingilia kati hii shule ya msingi St Marks ya Kongowe. Tafadhali na hata St Methew msingi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Proffesa Mkeda natumah ujambo na UNAENDELEA vizuri na majukumu Yako kampeni kwa lengo la kulinja taifa

Mh Proffesa MKENDA tunaamini serikali ya Tanzania iliporuhusu wawekezaji binafsi katika sector ya elimu haikuwafanya wawe juu ya Sheria au wavunje Sheria za nchi hii Hasa katika sector ya Elimu.

Kumekuwa na changamoto nyingi sana Kwa hizi shule binafsi Hasa zile zinazoendeshwa na walimu ambao tuna wasi wasi na taaluma zao.

Ebu fatilia Ili swala,

Shule y st marks iliyoko KONGOWE wilaya ya Pwani imekuwa na UTARATIBU ambao sisi tunaisi unavunja Sheria
Mathalani,

Mtoto alipangiwa KULIPA ada KIASI Fulani mzazi tunapambana UNAPATA kiasi hicho na unakilipa, wao wanamfukuza mwanafunzi kisa hajalipa fedha za program ambayo itafanyika mwezi wa kumi na Moja na huu ni mwezi wa tisa.

Mzazi unajiuliza kinachosababisha mtoto afukizwe masomo ni ada au malipo ya hizo programu ambazo TUMEKUWA tukizilipia lakini hatuoni Tija zake?

Pili ni ulipwaji wa ada wenyewe na Ankara za malipo Ili tunaliacha kwenye vyombo vyako vilichunguze ntapata Majibu.

Nimeumizwa na mtoto wa jirani yangu amerejeshwa nyumbani heti kisa hajalipia hizo fedha za special program ambazo Ili Hali hata hajavuka darasa jingine.

Mh waziri natamani nikupe no za huyo mzazi akupatie maelezo KAMILI maana nashindwa kuandika kisa hiki vizuri.
 
Haya ni matatizo ya ninyi wenye wanafunzi kuungana na kuyamaliza. Nchi imedumbukia kwenye utamaduni wa kila mtu kulalamika na kutaka afanyiwe hata mambo rahisi badala ya watu kufanya wenyewe.
 
Prof miyeyusho sana , akiwa wizara ya kilimo kuna jambo tulitaka aweke sawa kwa wilaya ya moshi akawa anaogapa kupokea mpaka simu zangu🚮
 
Mambo mengine wazazi ndo huchangia, binafsi mtoto anaweza hamishwa shule kama. kuna mambo ya kipumbavu kama hayo
 
Back
Top Bottom