nilichogundua kuna misconception kubwa sana kwenye jamii kuhusu bangi, wengi wa wanaoponda bangi hawajawahi hata kuivuta, unaweza kukuta mtu anasifia pombe na kuponda bangi, ila ni jambo la kihistoria nawaelewa, ilianzia 1923 pale serikali ya marekani ilipoharamisha bangi kutokana na pressure kubwa ya makampuni ya madawa na viwanda vya meli, zao la bangi linatoa bidhaa nyingi kiasi kwamba inatisha baadhi ya wafanyabiashara wenye viwanda vya pharmacetical kwani bangi inatoa dawa nuingi za binadamu pia mti wa bangi unatoa mbao bora zaidi kwenye uzalishaji wa meli, hivyo vita ya bangi ni ya kibiashara zaidi kuliko za kiafya, ndiomana kuna baadhi ya nchi wameamua kuhalalisha