Profile picture yako ina maana gani?

Profile picture yako ina maana gani?

nilichogundua kuna misconception kubwa sana kwenye jamii kuhusu bangi, wengi wa wanaoponda bangi hawajawahi hata kuivuta, unaweza kukuta mtu anasifia pombe na kuponda bangi, ila ni jambo la kihistoria nawaelewa, ilianzia 1923 pale serikali ya marekani ilipoharamisha bangi kutokana na pressure kubwa ya makampuni ya madawa na viwanda vya meli, zao la bangi linatoa bidhaa nyingi kiasi kwamba inatisha baadhi ya wafanyabiashara wenye viwanda vya pharmacetical kwani bangi inatoa dawa nuingi za binadamu pia mti wa bangi unatoa mbao bora zaidi kwenye uzalishaji wa meli, hivyo vita ya bangi ni ya kibiashara zaidi kuliko za kiafya, ndiomana kuna baadhi ya nchi wameamua kuhalalisha
mbao tena mkuu ya mti wa bangi?
 
Yangu avatar ya Jumong na Susunho, kwanza hii muvi naipenda mno kwa jinsi walivyoigiza na kupangilia matukio pamoja na mafunzo mengi ,pili ni upendo wa kweli baina ya hao wawili ni zaidi ya upendo kila mmoja jambo muhimu kwake ni kumuona mwenzake anafuraha na huona fahari zaidi kumsaidia mwenza bila kujali bila kujali athari zitakazo tokea kawao ,kuhurumiana na Uaminifu...
 
Me ngoja kwanza nikanywe MAJI narudi[emoji126][emoji126][emoji126]
 
Yangu avatar ya Jumong na Susunho, kwanza hii muvi naipenda mno kwa jinsi walivyoigiza na kupangilia matukio pamoja na mafunzo mengi ,pili ni upendo wa kweli baina ya hao wawili ni zaidi ya upendo kila mmoja jambo muhimu kwake ni kumuona mwenzake anafuraha na huona fahari zaidi kumsaidia mwenza bila kujali bila kujali athari zitakazo tokea kawao ,kuhurumiana na Uaminifu...
Sawa mkuu omba umpate wa hivyo alasivyo utapokea mapigo ya kila namna..😂
 
Gamer napenda mno kucheza FIFA

ANY ONE TO CHALLENGE ME PANDA KITANDANI UPCOMING CHAMPION
22d6b402887d4fa3a6e1dc7cc2fa3e54.jpg
 
Back
Top Bottom