Nimekupenda!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupenda!!!
Bado naendelea ,naikubali mbaya hata kama mazao mengine napiga ila Pilipili hoho inanitia moyo kinoma !!So wazilima bado..?
Karibu.Nimekupenda!!!
Una moyo sana kumuenz mtu aloiacha hazina ikiwa empty+ ongezeko la deni la Taifa.Mimi niliiweka wakati wa awamu ya tano nikiwa na lengo la kuunga mkono juhudi za bwana yule. Ila baada ya kutokea yaliyotokea nimeamua kuendelea kuitumia kama njia moja wapo ya kumuenzi.
Nyimbo zakeMgusie kidogo unampendea nini..?
Isidingo jamani nimeimiss ..Avatar, Lindan Nkosi aka Lincoln Sibeko wa isidingo. I like the personality he portrayed kwenye ile soap.
Avatar, Lindan Nkosi aka Lincoln Sibeko wa isidingo. I like the personality he portrayed kwenye ile soap.
Ndugu Kenzy isije kuwa lengo ni kujua wanachokipenda wahusika Kwa lengo la kurahisisha kazi ya wasiojulikana. 🏃Nimegundua kitu watu huwasilisha ujumbe kwa kupitia profile picture zao,na moja kwa moja aidha ujumbe husika mara nyingi huwa unamhusu mtu husika. Kinaweza kuwa kitu unachokipenda au ambacho kinahusu maisha yako ktk namna fulani, karibuni hapa tuelezee kwa uchache tu kwanini unatumia hiyo avatar.
Binafsi avatar yangu ni GOLDEN RECORD,hii avatar niliipenda kwasababu zaidi napendelea mambo ya sayansi ya anga kwa kifupi hii golden record ni disk ambayo iliwekwa kwenye kifaa cha kisayansi kilichorushwa miaka ya zamani sana. Kifaa kilichobeba hii golden record kinaitwa Voyager 1,mpaka hivi sasa kifaa hichi kimeshapita mbali sana I mean kimeshatoka nje ya solar system yetu!. Nini kipo kwenye golden record?
View attachment 1988481
Disk hii imetengenezwa kwa dhahabu ili iweze kutunza ujumbe uliomo kwa muda mrefu na disk hii inarekodi za sauti nyingi kutoka hapa duniani Kama mvua,sauti za wanyama,picha na salamu za lugha mbalimbali pia inaonyesha ramani ya sisi tulipo(dunia yetu).
Lengo lilikuwa ni kujulisha viumbe wengine(Kama wapo na wakibahatika kukipata kifaa husika).. ukiangalia pichani Kuna michoro kila mchoro ktk golden record unamaana yake nimeelezea kiufupi ila nishasikiliza kilichowekwa humo ni record ambayo inamasaa takribani matano!.. sikumaliza yote Kuna miziki n.k hi yote ni kututambulisha sisi kwa hao viumbe wengine.
Kwanini hiyo picha..? Kwasababu kwanza napenda "HUMANITY" pia napenda "ULIMWENGU" na sifa zake zote napenda Sana kuufahamu ulimwengu zaidi ya hivi ninavyoufahamu!.
So hii picha kwangu inamaana kubwa Sana kutokana na kiu cha kupenda sayansi ya anga, kupenda kuujua ulimwengu pia napenda humanity yani jinsi tulivyo ndio maana hata ktk profile banner yangu nimeweka picha ya Adam na Eva hii ikielezea jinsi navyopenda uutu wetu na mazingira yetu kiujumla!.
Nisiwachoshe yangu ni hayo machache wewe je, profile picture yako inazungumza nini?
Yangu ni yangu,uhalisia wangu.
Mh! Mkuu unatembeaga jukwaa la siasa..? Kule watu ndo wanamwaga nyongo Sasa na hakuna aliekamatwa hakuna Cha usalama halafu mbona Kuna nyuzi watu wanaweka picha zao kule selfika!!.Ndugu Kenzy isije kuwa lengo ni kujua wanachokipenda wahusika Kwa lengo la kurahisisha kazi ya wasiojulikana. 🏃
Kwahiyo usalama upo sio.Mh! Mkuu unatembeaga jukwaa la siasa..? Kule watu ndo wanamwaga nyongo Sasa na hakuna aliekamatwa hakuna Cha usalama halafu mbona Kuna nyuzi watu wanaweka picha zao kule selfika!!.
Sijawahi sikia jf member kashikwa ila mkurugenzi tu Max melo!!
Jinsi unavoniona kwenye picha ndo jinsi nilivo.