KERO Profile za Madaktari hazitoi uwezo wa kuona sehemu ambayo ameweka leseni yake

KERO Profile za Madaktari hazitoi uwezo wa kuona sehemu ambayo ameweka leseni yake

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jan 15, 2013
Posts
10
Reaction score
4
Kwa sasa mimi nina kero kuhusu Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) na PHAB Tanzania. Hawampi Daktari uwezo wa kuona sehemu ambayo ameweka leseni yake kwenye profile yake.

Hali hii inafanya baadhi ya hospitali binafsi kutumia mwanya huo kwa kutumia leseni za watu bila kuwapa malipo.
 
Back
Top Bottom