Program Alert: Mjadala wa Vyama Vingi - Star TV

Program Alert: Mjadala wa Vyama Vingi - Star TV

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Tunatarajia kuweza kushiriki mjadala wa mfumo wa vyama vingi utakaorushwa moja kwa moja na Star TV asubuhi ya leo (Jumapili) saa moja na nusu Asubuhi. Baadhi ya wageni wanaotarajiwa ni pamoja na Prof. Ibrahim Lipumba, kiongozi wa CCM (ambaye jina na wadhifa sijafahamu), kiongozi wa Chadema na wachangiaji wengine.
 
Back
Top Bottom