MULLAORIGINAL
Member
- Sep 9, 2011
- 20
- 11
Anatafutwa mtu kujaza nafasi tajwa hapo juu, atafanya kazi mikoa tofauti na kituo cha kazi ni dar, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye usimamizi wa miradi.
Awe amesoma Elimu ya chuo Kikuu ngazi ya shahada kwenye maswala ya kijamii (social work) au soshologia (sociology) and afya ya jamii (community health)
Unachotakiwa ni kuPM cv yako kwangu.
asanteni sana, mwisho tar 05.02.2012
asante kaka...naona nna vigezo ila nashindwa ku-pm...tunafanyaje?
Mtu anataka kusaidia watu,then wanaanza kumshambulia..wabongo bwana!mwenye shida amchek kwenye pm inaweza kuwa zari.