Program Coordinator

Program Coordinator

MULLAORIGINAL

Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
20
Reaction score
11
Anatafutwa mtu kujaza nafasi tajwa hapo juu, atafanya kazi mikoa tofauti na kituo cha kazi ni dar, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye usimamizi wa miradi.
Awe amesoma Elimu ya chuo Kikuu ngazi ya shahada kwenye maswala ya kijamii (social work) au soshologia (sociology) and afya ya jamii (community health)

Unachotakiwa ni kuPM cv yako kwangu.

asanteni sana, mwisho tar 05.02.2012
 
Toa email ww watu wanashndwa ku pm cv...
 
mkuu mbona hujataja shirika. Coz ili uweze kupata potential candidates weka jina la shirika na mradi/program/project...
 
Acha kuficha ficha, weka jina la shirika na email yako watu washuke na ma CV
 
Mtu anataka kusaidia watu,then wanaanza kumshambulia..wabongo bwana!mwenye shida amchek kwenye pm inaweza kuwa zari.
 
asante kaka...naona nna vigezo ila nashindwa ku-pm...tunafanyaje?

Click jina la mtoa tangazo, utakutana na option send a private message (PM) basi unaendelea kama email zingine unavyofanya.
 
Mtu anataka kusaidia watu,then wanaanza kumshambulia..wabongo bwana!mwenye shida amchek kwenye pm inaweza kuwa zari.

Mdau kuna wadau humu ndo tabia zao kuwavunja moyo wadau wasijaribu kuomba kazi,please unayejitambua unatafuta kazi jaribu!
 
WENGINE WAONGO WANATAKA cv ZA WATU ILI WASAJILI NGO ZAO AU DEAL NYINGINE. MIMI NI MUHANGA WA HAYO CIVIL SOCIETY WANANIPIGIA SIMU KILA LEO WANAKUJA OFISINI KWETU WAKATI HIYO OFISI SIIJUI! AKILI KUMKICHWA
 
Back
Top Bottom