Gilbert Prudence
Member
- Oct 30, 2018
- 35
- 62
Ni mwaka wa pili sasa nafuatilia hii program ya BBT iliyo anzishwa na mh Bashe chini ya wizara ya kilimo , nilichogundua hii program ni ya kisiasa na kidarali watu wanapiga pesa vibaya mno na vijana wanapotezewa mda na kutumikishwa kama watumwa wakipewa ujira na Kwa malimbikizo. Naona bora serikali ingetenga mashamba na kuajiri vibarua na sio kukatisha vijana wake tamaa .