Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Mkuu Mimi mwenyewe natumia C sana ila kweli C will always be there forever lakini si crush Java kwasababu gani Kotlin ni improved Java kwahiyo nasema hivyo kwasababu huko mbeleni Kotlin atatumika sana na atakuwa na opportunity kubwa compared to Java nadhani hii inaeleweka mkuu
 
Wapo mkuu ukihitaji masuala ya API nichek PM
 
Mkuu in terms of software & Technology kwa ujumla tumeachwa mbali sana Microsoft, Facebook (Meta) wapo Kenya Tanzania is widely known kwanini wasiwekeze humu Cha kufahamu ni kwamba Tanzania in some factors kama Low Cyber crime tulirank mwaka Jana as the second country but ukweli ni kwamba Kenya, Rwanda, Uganda they are good than us nadhani kwa East Africa tupo namba nne au 5 maana Ethiopia nae yupo vizuri
 
Kwani microsoft au meta kuwa na regional offices kenya ndio inamaanisha nini? Haimaanishi microsoft product itakayotumika kenya ni tofauti na itakayotumika TZ na btw kaangalie ni majukumu gani yanafanywa na hizo ofisi hapo Kenya.

Uamuzi wa kampuni kuwekeza ama kufungua ofisi zake za kikanda sehemu fulani kuna factors nyingi na lobbying nyingi ambazo hufanywa na nchi husika, upande wa lobbying TZ tuko nyuma hatuja i market nchi yetu vya kutosha kenya kwa ushawishi wao plus diaspora community waliyonayo inaweza kuwa factor kubwa ya kuwavutia wawekezaji wa makampuni hayo

Uwepo wa makampuni hayo nchi fulani haimaanishi advancement of technology katika nchi hizo
 
Kwa locals huwezi kukwepa hicho kipengele cha kuwa na registered business, lakini ku register business sio process ndefu.

Ila ningekushauri utumie azam pay kwa sababu sandbox env. Yao haihitaji uwe na registered business na pia ana advantage ya kuwa ame connect na MNO wote so hautohitaji integration na MNO mmoja mmoja na pia API yao ni public so hutokuwa na hustle ya kuwa na ipsec tunnel.

Kama utaamua kwenda na MNO mmoja mmoja nakushauri anza na Airtel kwa sababu API yake ni public na hawana mchakato mrefu ila ni lazima uwe na registered business kwanza
 
Kuweka hizi kampuni kwenye hizi nchi inamaanisha they're good in technology than us
Uwekezaji wa Microsoft au Meta kufungua ofisi za kikanda Kenya hauhusiani moja kwa moja na utofauti wa bidhaa zao kati ya Kenya na Tanzania. Hizi ni ofisi za usimamizi wa kanda, si vituo vya kuzalisha bidhaa tofauti kwa kila nchi.

Sababu kubwa ya kampuni kama hizi kuchagua eneo fulani ni mazingira ya kibiashara na kiteknolojia—yaani, miundombinu ya IT ipo vizr, sera za serikali, upatikanaji wa wataalamu wa teknolojia(software developers), na mazingira ya ushindani wa kibiashara. Kenya imefanikiwa kujijenga kama kitovu cha tech Afrika Mashariki kwa sababu ya juhudi za serikali, uwekezaji wa sekta binafsi, na ushawishi wa diaspora yao. Tanzania, kwa upande mwingine, bado ina nafasi ya kuboresha utangazaji wake kama kituo cha kiteknolojia na kuvutia zaidi wawekezaji wakubwa japo tunakubali Kenya imetushinda.

Huwezi kuona kampuni kubwa ikiwekeza mahali ambapo hakuna mazingira mazuri ya ukuaji wa biashara zao. Ni kama mkulima anavyotafuta ardhi yenye rutuba kabla ya kuanza kilimo—mavuno yanaendana na mazingira.
 
Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.
 
Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.
Binafsi niseme hakuna bidhaa yoyote ya Microsoft iliyoanzishwa Kenya. Microsoft haina historia ya kuunda bidhaa zake mpya Kenya; badala yake, ofisi yake ya kikanda nchini Kenya inalenga masuala ya research, maendeleo ya Microsoft Africa, usaidizi wa wateja mbalimbali, na usimamizi wa biashara kwa eneo la East Africa.

Uwepo wa ofisi hizo hauhusiani na uundaji wa bidhaa mpya bali ni sehemu ya mkakati wa kampuni kusimamia masoko yake.
Nadhani inaeleweka!!
 
Sio sahihi mtaalam, mwaka jana mfumo wa NEST umekuwa mfumo bora Africa, mkuu kuna watu wana coding balaa. Mifumo bora kabisa Africa ni 1. NEST 2. ERMS 3. MAJI IS, asilimia kubwa mifumo hii imekuwa developed na eGA
 
Sio sahihi mtaalam, mwaka jana mfumo wa NEST umekuwa mfumo bora Africa, mkuu kuna watu wana coding balaa. Mifumo bora kabisa Africa ni 1. NEST 2. ERMS 3. MAJI IS, asilimia kubwa mifumo hii imekuwa developed na eGA
Sijakuelewa mkuu what you mean una compete tech companies inside our country au umelinganisha na nchi za wenzetu
 
Sijakuelewa mkuu what you mean una compete tech companies inside our country au umelinganisha na nchi za wenzetu
Namaanisha Hapa TZ tuna developers ambao wako competent, kuna watu humu ndani wanawachukulia poa. kuna baadhi ya mifumo ya Kitanzania inafanya vyema sana moja wapo ni hii, ERMS, MAJI IS, NEST
 
Namaanisha Hapa TZ tuna developers ambao wako competent, kuna watu humu ndani wanawachukulia poa. kuna baadhi ya mifumo ya Kitanzania inafanya vyema sana moja wapo ni hii, ERMS, MAJI IS, NEST
Developers wapo mkuu ila sio wengi kivile pia developers tuliopo kutokana na Hali ya nchi yetu kuwa na mwitikio hafifu kwenye technology inatufanya tuendelee kuwa nyuma kila kukicha though we are still growing & we need to learn from other countries
 

Nashukuru kwa ushauri ndugu. Nitafanya hivyo.
 
Niko na python nataka niitumie kwenye Quantitative Finance..
 
vannilla Javascript unaifahamu vizuri?.. un uhakika na kwenye Java unafahamu kitu gani?
 
uko sahihi java ni hatari sana kwa security na microservices java is every where
Kwa fact gani if you can't argue with fact your statement might be wrong jaribu kuja na fact how can iphone 15 be better than 16 or window 7 be better than window 11 it's a matter of thinking not just because your using Java bro go deep and do a research on Reddit you'll understand why Kotlin is better than Java though Kotlin is java
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…