Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

siwezi kusema kuwa mimi najua sana ila kiukweli programming nimeanza kusoma tokea 2017 mpaka now nafahamu vitu vingi sana mwaka 2019 ndo mara ya kwanza nimetengeneza website from scratch na nika depoly online ilikua ni enjoy nilitumia angular 2 Na java wow mpaka sasa nafahamu Languages nyingi mno Javascript , java, TYPESCRIPT, PHP, python framework ninafahamu express with node, django, flask, Laravel, springsboot, codeignter react, react native nimetengeneza project zaidi ya 90 za Javascript na php na python now natengeneza smar farming ya embedded systems itakayokua inafanya irrigation yenyewe wewe utakua una i control kwa simu yako itakua inapima hali ya udogo nina app nyingi mno, kilimo kwanza, nitafutie, kazimtaani, etc
 
broother dont urging with me from this field aise doont najua na pia nafanya tech company aisee.. kotlin ni mzuri for mobile dev ila Java anapiga kote web systems na mobile na both languages nazijua mnoo java ni java systems zote za benki zinatumia java
 
Ni kweli mkuu na agree ila currently Kotlin ni best kwenye mambo mengi kwanzia app development where ukija kwenye java currently ni high performance systems tu Ina create pia JavaScript ni nzuri hasa cross platform ila kwa native kolin
 
Ni kweli mkuu na agree ila currently Kotlin ni best kwenye mambo mengi kwanzia app development where ukija kwenye java currently ni high performance systems tu Ina create pia JavaScript ni nzuri hasa cross platform ila kwa native kolin
python alikuja kwa ajili ya kumuangamiza php na java ila php alijitahidi ila bado baada ya php kuleta laravel na updated nyingi ikawa ina sapoti libraries kama react, vue na angular moja kwa moja.. na kutumia MVC modal yeye kaja na MTV which ni the same kabisa na laravel maana wote wanatumia ORM na pia java kashindwa tena sana react native Flutter wakati una built code zinakua converted to java na swift kwa kutumia xcode compiler so java atandelea kua bora sana springboot boot ni hatari mnoo
 
unafahamu frame ipi ya Javascript?
Hizo modern framework nazisikia sijazisoma. Vanilla javascript maana ake ni javascript core bila kutumia hizo modern framework. Nikisema niko vizuri kwenye vanilla javascript maana ake naweza kuandika kodi za ile javascript OG. concepts za functions, arrays, kutengeneza animations, kuweka image ukiclick kulia inabehave hivi na ukiclick kushoto inabehave hivi. Lakini pia nafahamu AJAX kwa ajili ya kuupdate webpage dynamically yaani bila kubonyeza reload button.

Hizo modern frameworks kama angular na react sijazisoma bado nazisikia tu
 
Naona kuna watu wametengeneza ID mpya kuja kubishana. Ni nzuri mkitufundisha na sisi BURE, mkitaka tulipe ni bora nasi twende vyuoni tulipie ada za degree za IT kivyetu, nikulipe halafu sipati cheti, hapana.
 
Naona kuna watu wametengeneza ID mpya kuja kubishana. Ni nzuri mkitufundisha na sisi BURE, mkitaka tulipe ni bora nasi twende vyuoni tulipie ada za degree za IT kivyetu, nikulipe halafu sipati cheti, hapana.
hhhhhhhh
 
kwa hyo wewe unafahamu DOM ? ajax ni kitu gani?
 
Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.
Hapana mkuu, unaposema 'Product" hili ni suala tofauti kabisa.....
Kwenye products hapo nadhani hata UK, au Europe hakuna product ya MS ilioanzishwa zaidi ya projects.....

Hizi ndio faida za kuwa na big players......

 
Kwani muwekezaji akiamua kuwekeza Mbeya badala ya Shinyanga, inamaanisha Mbeya ni Bora kuliko Shinyanga au mimi sielewi hoja?
 
Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…