mwalimu_wa_IT
Member
- Nov 5, 2024
- 93
- 165
siwezi kusema kuwa mimi najua sana ila kiukweli programming nimeanza kusoma tokea 2017 mpaka now nafahamu vitu vingi sana mwaka 2019 ndo mara ya kwanza nimetengeneza website from scratch na nika depoly online ilikua ni enjoy nilitumia angular 2 Na java wow mpaka sasa nafahamu Languages nyingi mno Javascript , java, TYPESCRIPT, PHP, python framework ninafahamu express with node, django, flask, Laravel, springsboot, codeignter react, react native nimetengeneza project zaidi ya 90 za Javascript na php na python now natengeneza smar farming ya embedded systems itakayokua inafanya irrigation yenyewe wewe utakua una i control kwa simu yako itakua inapima hali ya udogo nina app nyingi mno, kilimo kwanza, nitafutie, kazimtaani, etc