Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.

1740788487365.png

1740788567584.png
 
Hizo Tech funded projects huwa mnazifuatilia mwisho wake???
Hazihitaji kufuatiliwa na sisi...
Wanaofatilia na kuwa na data kamili ni hao hao
Akianza Microsoft, Google ataangalia matokeo, na kutia timu, na Intel akicheki data za hao wakubwa wawili nae anafuata, na IBM mzee wa quantum computer huyu hapa......
Hawa hawasubiri habari za nipashe, wanaenda na data, na hawa big tech hawafichi data , kama aliingia cha kike Kenya, wangeshafunga virago zamani.....
 
Usitishwe na vichwa vya habari vikubwa mkuu, hizi project matokeo yake yako wapi.??
Hizo project zilipangwa kwenda sambamba na uanzishwaji wa mji wa ki teknolojia enzi za Kibaki Konza City kitu ambacho hadi leo hakija materialize, mwaka jana Ruto aliikumbushia tena huu mradi lakini hadi sasa hakuna mkandarasi aliyeko site.
Kenya wametuzidi kwenye marketing tu, huku kwingine hakuna walicho tuzidi, ukipata taarifa sahihi utalijua hilo.
 
Hazihitaji kufuatiliwa na sisi...
Wanaofatilia na kuwa na data kamili ni hao hao
Akianza Microsoft, Google ataangalia matokeo, na kutia timu, na Intel akicheki data za hao wakubwa wawili nae anafuata, na IBM mzee wa quantum computer huyu hapa......
Hawa hawasubiri habari za nipashe, wanaenda na data, na hawa big tech hawafichi data , kama aliingia cha kike Kenya, wangeshafunga virago zamani.....
Hizo microsoft, google, meta etc ziko hapo kwaa jili ya kuwaamini wakenya katika Product marketing hususani kwenye soko la Afrika ila sio kwa sababu ya ubobezi wao kwenye teknolojia
 
Hizo microsoft, google, meta etc ziko hapo kwaa jili ya kuwaamini wakenya katika Product marketing hususani kwenye soko la Afrika ila sio kwa sababu ya ubobezi wao kwenye teknolojia
 
kwa hyo wewe unafahamu DOM ? ajax ni kitu gani?
AJAX kwa kirefu ni Asynchronous JavaScript and XML. Yaani webpage yako inaweza kusend request alafu kabla hata haijapokea response ikawa ina uwezo wa kupokea user input na kuendelea na mishe nyingine kama kawa. Lakini unaweza kubadili content ya webpage bila kureload webpage nzima. Kuna javascript function unaiweka ndiyo inafanya hiyo kazi.

Ndiyo nafahamu DOM
 
Kwani muwekezaji akiamua kuwekeza Mbeya badala ya Shinyanga, inamaanisha Mbeya ni Bora kuliko Shinyanga au mimi sielewi hoja?
Mkuu kwanini wawekezaji wengi wanawekeza Dar es salaam,Arusha, mwanza kwanini wasiende mtwara huko vijijini refer to geography factors za kuweka investment yako .
 
Umesoma na kuelewa kilicho andikwa?
Mkuu in terms of agriculture Tanzania tunapata wawekezaji wengi ila wenzetu Kenya wanapata investors wa tech kule kwao kwenye tech wapo juu na hii factor ndio inawafanya wapate wawekezaji
 
python alikuja kwa ajili ya kumuangamiza php na java ila php alijitahidi ila bado baada ya php kuleta laravel na updated nyingi ikawa ina sapoti libraries kama react, vue na angular moja kwa moja.. na kutumia MVC modal yeye kaja na MTV which ni the same kabisa na laravel maana wote wanatumia ORM na pia java kashindwa tena sana react native Flutter wakati una built code zinakua converted to java na swift kwa kutumia xcode compiler so java atandelea kua bora sana springboot boot ni hatari mnoo
Python haikuja kwa lengo la kumpinga au occupy php na Java mkuu python was built up to simplify programming na pia python inategemeana language zingine mfano unahamu python is built up on top of C programming ndio maana iliwahi kuitwa Cython kwahiyo unapo andika python it is compiled into C programming then inakuwa compiled tena kwenye machine language kwahiyo python ni high level programming language na most high level zipo built on top of other language ndio maana python Ina low speed kwasababu ya hizo multiple compliment.
 
upo sahihi mkuu...
 
siwezi kusema kuwa mimi najua sana ila kiukweli programming nimeanza kusoma tokea 2017 mpaka now nafahamu vitu vingi sana mwaka 2019 ndo mara ya kwanza nimetengeneza website from scratch na nika depoly online ilikua ni enjoy nilitumia angular 2 Na java wow mpaka sasa nafahamu Languages nyingi mno Javascript , java, TYPESCRIPT, PHP, python framework ninafahamu express with node, django, flask, Laravel, springsboot, codeignter react, react native nimetengeneza project zaidi ya 90 za Javascript na php na python now natengeneza smar farming ya embedded systems itakayokua inafanya irrigation yenyewe wewe utakua una i control kwa simu yako itakua inapima hali ya udogo nina app nyingi mno, kilimo kwanza, nitafutie, kazimtaani, etc
Kaka, uyu mtu sio wa kuendelea kubishana naye tena. Ipo siku atdakuja kutuambia NodeJS ni bora kuliko Java, watu kama hawa mimi na waitaga wadananda
Yani fact yake kisa language ni mpya basi ana-assume itakuwa bora sasa utabishana nae unafikiri mtamaliza?
These kids who just start programming wanakuwaga influenced sana na maneno ya watu,
Kwanza mpaka dakika hii sielewi fact yake, Kotlin ni nzuri kwa kitu gani? Performances wise, library na community support vyote hivi vinaonesha ubora wa Java sasa mwenzetu sijuwi anatuambia kwa upande gani.
Maneno kama haya huwezi kuona Experienced programmer anaongea
 
Mkuu umefanya project gani maana nisije nikawa nabishana na watu out of field tuweke cheti hapa na project then tuone who is correct kwasababu Kuna dalili kubwa hujui hata haya mambo yanavyo Fanya kazi una ng'ang'ana kuongea non fact mzee unadhani biggest companies Instagram, TikTok, Telegram wanatumia Kotlin unadhani ni wajinga wahamie huko. Java is outdated now especially for Android development indrustry Kotlin is the best.
 
Mkuu Mimi mwenyewe natumia C sana ila kweli C will always be there forever lakini si crush Java kwasababu gani Kotlin ni improved Java kwahiyo nasema hivyo kwasababu huko mbeleni Kotlin atatumika sana na atakuwa na opportunity kubwa compared to Java nadhani hii inaeleweka mkuu
That will never happen, kipi unashindwa kuelewa mzee!?
C++ iliitwa hivyo hivyo kama ni improved C lakini umeona saivi almost decades ngapi zimepita ila kila moja imetafuta Uwanja wake,
g++ inaweza kucompile hata C codes lakini ukiangalia linux kernel, freertos kernel nk zote zikaandikwa kwa C any idea why??
Wacha kukaririshwa na hao Youtubers bro, Java haitokuwa replaced leo wala Kesho and that will never happen! Sio kila mtu anafata upepo
 
Mkuu umefanya project gani maana nisije nikawa nabishana na watu out of field tuweke cheti hapa na project then tuone who is correct kwasababu Kuna dalili kubwa hujui hata haya mambo yanavyo Fanya kazi una ng'ang'ana kuongea non fact mzee unadhani biggest companies Instagram, TikTok, Telegram wanatumia Kotlin unadhani ni wajinga wahamie huko. Java is outdated now especially for Android development indrustry Kotlin is the best.
Mimi sitaki tuongee kwa udananda.
Kwaiyo una-assume software development inaishia kwenye android tu peke yake???
Nikikuita junior unaona nakosea ?
 
Wewe ndio junior developer mkuu una mda gani kwenye software indrustry kwasababu you can't term a person as junior developer kwasababu hujui skills alizonazo just criticism but kwa upande wangu I'm not here to criticize I'm here to make things clear
Mimi sitaki tuongee kwa udananda.
Kwaiyo una-assume software development inaishia kwenye android tu peke yake???
Nikikuita junior unaona nakosea ?
 
Mimi sitaki tuongee kwa udananda.
Kwaiyo una-assume software development inaishia kwenye android tu peke yake???
Nikikuita junior unaona nakosea ?
Mimi sikatai statement zenu. Ni kweli Java imekuwa kwa muda mrefu na Ina community kubwa, ecosystem yake ni kubwa na imetumika kwa sehemu kubwa ingawa Kotlin ilizinduliwa na JetBrains ku address shortcomings za java. Google wamesupport hii language kutokana na uwezo wake na ndio currently preferable language kwa android development baadhi ya makampuni kama Instagram na TikTok wanatumia Kotlin sasa hivi pia kutokana na Kotlin courutines inafanya programming iwe nyepesi kuliko Java. Hii support kutoka google inamaana Kotlin ni better tooling,Ina resources za kutosha ila sikatai java inaweza kutumika kutokana na kustawi kwake na ecosystem yake.
Kwahiyo bhana Kotlin ni better kwa modern world, pia java itakuwepo. Ila kwa Dunia ya Sasa ni vyema kujifunza Kotlin kwasababu ya modern features zake, indrustry adoption na support kutoka android.
 
Back
Top Bottom