Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

izi mambo za kujengea mtu app utajuta utateseka mpaka unakuja kuzeeka amna urithi unaacha
😂I have never worked as a freelancer na siwezi kabisa huii issue mkuu dah ni kama utumwa programmer kumlipa 2M ni pesa ndogo sana yani
 
😂I have never worked as a freelancer na siwezi kabisa huii issue mkuu dah ni kama utumwa programmer kumlipa 2M ni pesa ndogo sana yani
2M nyingi sana kule freelancer wau wanafanya kazi mpaka kwa $10
 
Hahahahaha,
Hao ni hawa fake IT bongo developers wapo wachache mtu hajui hata kutengeneza API anajiita developer ukitaka kuamini nnacho sema njoo na project yako mkabithi mbongo anayejibrand huku online hovyo alafu mpe uone utaishia kulizwa tu
Kila sekta Kuna Tamu na chungu zake ni Kazi ya unayetafuta kutumia Uufahamu wako vizuri, sehemu zote Mara nyingi usipo kuwa makini ni kulizwa TU
 
Kaka jamaa yupo sahihi kabisa
Mimi nafanya hizi Mambo, najiskia vibaya kauli kama hiyo, Tehama sio mziki kuingia ingia tu, Tehama haihitaji mtu mvivu.
Kila kitu kinawezekana tupo wachache tunaamini hivyo kwa sababu tunajua tulivyo Anza na kujifunza, Dunia ya Leo hata ukitaka Formula ya Bomu utaipata hata rocket utaipata kazi ni kwako kuelewa maelezo ya kufika ulipo pataka kama huna mipango kitu chochote ni kucheza TU
 
Back
Top Bottom