Programmers naomba msaada kwenye hili

Programmers naomba msaada kwenye hili

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
1,528
Reaction score
1,955
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;

Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'

Mimi ndiyo naanza kujifunza'
 
Mfumo gani? Unapaswa kueleza kinaga ubaga plus hatua kwa hatua ndio script ipatikane.
 
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;

Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'

Mimi ndiyo naanza kujifunza'
splitted = word.split()for word in splitted: if (len(word)) > len(longest_word): longest_word = word print(longest_word)
 
Achana na script itakudekeza. Omba algorithm uielewe then utaiprogram kwa language yoyote.

1. Tengeneza indexed array yenye mchanganyiko wa herufi na namba unazotaka
Code:
arr = [0-9A-Z]

2. Kupata herufi ya kwanza, tumia random number generator kupata number kati ya 0 na
Code:
arr.length - 1
kisha namba hiyo itumie kama index kupata herufi ya kwanza
Code:
str = arr[rand(0, arr.length - 1)]

3. Rudia step iliyopita kupata herufi ya pili, ya tatu n.k
 
nimekuelewa
 
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;

Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'

Mimi ndiyo naanza kujifunza'
Kwenye java. Ninge declare ktk fields int as number, halafu strings au character. Na ku initislize them as required .
print strings by concentrating them au append them.
Kama number za kufanana basi i will use array to declare all numbers au strings au characters. Kisha ningeendelea na maudambei mengineyo. So unaweza kuhawisha. Mfano jwenye python kuna append object. Haribu kuhawilisha jspo ni long path.
Hivi ujirnda hivi
String words= "w"
W= 23@k
Ukaja uka print
System .out println (word is + " w). Hii ni java.
Sijazingatia sana sarufi bali muundo( unaweza rejea sarufi sahihi).
Je ukibadil huo muundo kwenye python itagoma ? Sio mtaalamu kivile ktk haya mambo. Hebu jaribu kama itakupa matokeo.
Rejea kwenye vitabu string object.
String concatenation
Append
Print stream.
Zaidi unaweza kutumia idea za collection data structure.
Wataalamu watakuja kueleza zaidi.
 
Achana na script itakudekeza. Omba algorithm uielewe then utaiprogram kwa language yoyote.

1. Tengeneza indexed array yenye mchanganyiko wa herufi na namba unazotaka
Code:
arr = [0-9A-Z]

2. Kupata herufi ya kwanza, tumia random number generator kupata number kati ya 0 na
Code:
arr.length - 1
kisha namba hiyo itumie kama index kupata herufi ya kwanza
Code:
str = arr[rand(0, arr.length - 1)]

3. Rudia step iliyopita kupata herufi ya pili, ya tatu n.k
Python inaruhuru array kuweka vitu mchanganyiko ?
 
Back
Top Bottom