Programmers wa Blockchain na DeFi msaada tafadhali

Programmers wa Blockchain na DeFi msaada tafadhali

Jumuisho langu kwa wote mlionijibu humu japo wengine kwa lugha ya kejeli; siwezi kurudisha majibu ya kejeli wala kutumia muda kujibu kejeli. Nimepata msaada wa kutosha kwenye forum ya Quora na bitcointalk. Ninapenda sana kuweka humu hoja zangu tatizo wengi humu hawapo serious . Huwezi kitegemea jibu serious kwa ishu za maana. So disappointing.
Mkuu ushauri wangu. Kwa wabongo wengi hizi kazi ni ngeni kwao, kwanini usitafute na wataalam kutoka nje ili kuongeza ushindani na kuongeza ubora wa kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom