Jumuisho langu kwa wote mlionijibu humu japo wengine kwa lugha ya kejeli; siwezi kurudisha majibu ya kejeli wala kutumia muda kujibu kejeli. Nimepata msaada wa kutosha kwenye forum ya Quora na bitcointalk. Ninapenda sana kuweka humu hoja zangu tatizo wengi humu hawapo serious . Huwezi kitegemea jibu serious kwa ishu za maana. So disappointing.