Nimekuelewa Nita vifanyia kaz vyote ulivyoniambi,ila Kwa upande wa query katika database language ipi ni nzuri kutumia kati ya mysqli na pdo Kwa maana tutorial nyingi za YouTube zipo outdated,unakuta Nina angalia tutorial vizuri tu,mwisho nakuja ku code unakuta inaleta errors za kutosha na unakuta code ni hiyo hiyo nimeangalia kwenye tutorial.sa sieliwi ni wanafanya makusudi kutengeneza error Ili watu wa comment kwenye account zao au lah au mm Ndio sieliwi.
Data base ziko nyinyi sana mkuu ,kwa level yako wewe chagua yoyote tu,ingekuwa wewe ni googleau yahoo au Amazon
Ungesema kulingana na watu wengi na vitu nichague hii ,haujafikia hiyo level. Soma chagua kulingana na mahitaji yako.acha maneno mengi ya ipi bora ukijadili ipi bora hautaanza kufanya chochote.kama kwenye language huko.
Mtu uko busy unapoteza muda language ipi ni bora ,wewe chagua yoyote ile soma ukiweza Utahama.
Me natumia database ya MySQL na mongoDb.ndio zinamifano mingi sana YouTube ila pia unaweza kutumia vitabu sio lazima YouTube tu. Changamoto hapo ni kuconnect database na website yako mfano yaani ukiweka notes kwenye database zionekane kwenye website yako.
Hapo theory ya mysqli na pdo nimeiruka nimekuja moja kwa moja kwenye database tu nayoitaka automatically nimechagua pdo.achana na matheory sana base kwenye kufanya kitu kionekane ndio inakuwa njia nzuri yakukielewa na kukishika.
Me nilianza kusoma MySQL nikashindwa kuconnect database na website nikaiacha hiyo database nikasoma mongoDb nikafaniwa kuconnect ila sasa nikaona mbona zina katika hizo notes hazionekani vizuri nikahisi mongoDb sio Nzuri kumbe kwenye CSS,nilifanya code vibaya.
Nikaanza kusoma database nyingine inaitwa mariadb inatumiwa na Wikipedia hao,
Wakati na soma hiyo nikagundua zikosawa tu na MySQL na kwa kuwa nimeshajua kuconnect tayari kwenye mongoDb ngoja nirudi kwa MySQL baada ya muda nikafanikiwA kuconnect.kwa hiyo database yangu natumia MySQL mara nyinyi.
Hapana mkuu ila nahisi pia wao wanatafuta hizo viewzenu aingize hela.
Kila mtu na ufundishaji wake hiyo ni kawaida sana unaangalia na hauelewi tafuta mtu ambae utamuelewa sio kila mtu hapo YouTube hapo utamuelewa hapana mkuu.
Mkuu kasome tofauti ya mysqli na pdo.
Uliza hicho kitu utajua ipi ni nzuri kwa upande wako.
Ila kwa upande wangu nashauri pdo.
Sijui unatumia language gani,ila Kama unatumia language ya php tumia mysqli .
ila inaonekana hata hayo mambo pia ni old sana.na watu walishatoka huko.ndio maana unaona unakosa mifano sana.
Unatumia database gani?
Sijui kama nimekujibu swali lako vizuri mkuu?