Duh! Sasa ikiwa huwezi kutoa hata online session, huoni hapo unaharibu! Je, kwa asie karibu na ulipo wewe, akawa na uhitaji, hawezi kupata! Customization siyo lugha pekee. Inahusu mahitaji ya mteja tofauti na ilivyokuwa develped.Demo hamna labda kama unataka tukutane nikuonyeshe inavyofanya kazi, customization ni lugha tu kubadili
Sawa, tumaAu nikutumie video inavyofanya kazi