Haya ni baadhi ya matukio yanaoendelea katika Tantech association ambapo mimi na wenzangu kushirikiana na shule yetu tuliweza kuomba msaada wa kupata mafunzo mbalimbali Kwenye chuo cha Agakhan ,Shukrani tulikubaliwa na masomo yaliendelea Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa Prof.Fredrick Mtenzi na Engineer Musa saimon ambapo walikubali kutufundisha kwa kutumia computer lab yao ambapo iko very modern ambapo tuliweza kuunganishwa na Expert kutoka nchini Vienna ambapo tulipata Mafundisho juu ya Geogebra bila ambapo walitoa elimu hii bure bila kutoza fedha yoyote kwa kuwa wanatamani kusaidia vijana wenginwa Kitanzania kuweza kupata juzi mbalimbali za sayansi ya teknolojia
Sasa ningependa tushirikiane kwa mawazo hata pia kwa kujitoa kuwekeza nguvu kuweza kuendeleza jambo hili.
Na hizo picha hapo ni za hiyo association au?
Hao vijana waliovaa sare ni wanafunzi wenzako mnasoma shule moja au ni member wa hiyo organization?,
Hizo sare ni sare za shule au za hiyo organization yenu?