Progress of Tantech
Joined
Sep 1, 2024
Posts
37
Reaction score
88
IMG-20240810-WA0041.jpg

IMG-20240830-WA0094.jpg
IMG-20240810-WA0036.jpg

20240830_133158.jpg
Haya ni baadhi ya matukio yanaoendelea katika Tantech association ambapo mimi na wenzangu kushirikiana na shule yetu tuliweza kuomba msaada wa kupata mafunzo mbalimbali Kwenye chuo cha Agakhan ,Shukrani tulikubaliwa na masomo yaliendelea Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa Prof.Fredrick Mtenzi na Engineer Musa saimon ambapo walikubali kutufundisha kwa kutumia computer lab yao ambapo iko very modern ambapo tuliweza kuunganishwa na Expert kutoka nchini Vienna ambapo tulipata Mafundisho juu ya Geogebra bila ambapo walitoa elimu hii bure bila kutoza fedha yoyote kwa kuwa wanatamani kusaidia vijana wenginwa Kitanzania kuweza kupata juzi mbalimbali za sayansi ya teknolojia

Sasa ningependa tushirikiane kwa mawazo hata pia kwa kujitoa kuwekeza nguvu kuweza kuendeleza jambo hili.
 

Attachments

  • 20240830_133158.jpg
    20240830_133158.jpg
    3 MB · Views: 3
Itainclude mostly Computer experts,(Science of technology) na Stakeholders nchini ambao pia wanaweza saidia vijana katika section mbalimbali.
 
Back
Top Bottom