Progress ya Nairobi expressway

Nyinyi mna interchange mbili tu na huna aibu kuzungumza kuhusu expressway ambayo hamna na huwa mnaitazama tu kwenye runinga? Ikiisha mje Kenya kuenjoy expressway maana hamjui yenu itajengwa lini.
Na nyinyi mje muenjoy treni la umeme😅 anway mm nawapongeza nafurahi nikiona nchi za Africa zikiendelea natumai by 2040 tutakua mbalii sana
 
Povu limekutoka kisa nn[emoji16][emoji16],Hata sisi tunamiradi yetu kulingana na mfuko wetu sina haja ya kuitaja hapa...
Nimesema mtazoea tu maana naona mnausubiri Mradi kwa hamu zote
Mbona tusiusubiri? Hivi nyinyi hampigi Kelele ya SGR? Ya Salender hampigi? Ya steigler gorge hampigi?
 
Sasa unataka kuturingia SGR? Sisi tayari tunayo. Kwanza imeshakamilika na inafanya kazi. Nyinyi miradi yenu yote kubwa yapo katika hali ya ujenzi.
Sawa tusibadili mada kuu
 
Sasa unataka kuturingia SGR? Sisi tayari tunayo. Kwanza imeshakamilika na inafanya kazi. Nyinyi miradi yenu yote kubwa yapo katika hali ya ujenzi.
Mm sifananisha ebu rudialia nilichokiandika
 
There're many dams under construction, too many.
Visit ministry of water website

Tungekua tunatangaza miradi yetu yote kama wa Tanzania sijui ingekuaje. Kuna several stuff going on kimya kimya tu., our media ni kelele za covid na siasa za BBI na 2022 , no developmental journalism!
 
Wenzenu kuanzia 70s tuna dams nyie mnakuja kutupigia keke hapa
Kuna ujenzi ambao umekuwa ukiendelea, wa bwawa la Karimenu kule gatuzi la Kiambu. Mradi wa KES 23B ambao utakamilika mapema mwaka ujao na sijaona mkenya hata mmoja humu akiutaja utaja mradi huo. Mambo yanaendelea kimya kimya tu nchini Kenya, kama kawa.
NB: Karimenu Dam sio bwawa la kuzalisha umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…