Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
Na nyinyi mje muenjoy treni la umeme😅 anway mm nawapongeza nafurahi nikiona nchi za Africa zikiendelea natumai by 2040 tutakua mbalii sanaNyinyi mna interchange mbili tu na huna aibu kuzungumza kuhusu expressway ambayo hamna na huwa mnaitazama tu kwenye runinga? Ikiisha mje Kenya kuenjoy expressway maana hamjui yenu itajengwa lini.