Kwn pillars za kw render ni za bei gani vile[emoji1787][emoji1787]Wachina wanalipua huo mradi gharama walizotaja ni tofauti na kijengwacho,wanakwenda kutengeneza faida maradufu kwa miaka 30,wachina si watu,wanakwambia tunajenga expressway ya ksh 500,hiyo ksh 500 tunaitoa sisi,lakini kwa ground wanajenga expressway ya ksh 60 ambapo wanaweka toll kwa hesabu ya ksh 500...[emoji1787][emoji24]
Then angalia pillars zinazojengwa hapo,then kaangalie kwenye render vitu ni tofauti kabisa
Standar chattered na AFDB wanajenga vipande vyao reli ndani ya nchi huru ya tanzaniaBarabara ya wachina ndani ya nchi huru ya Kenya
Kwn ile render ilikua ya shingapi vileInauma sana kuona waafrika wenzetu mnatapeliwa kizembe sana,wakenya wamekuwa vilaza kupitiliza ..mnatapeliwa kirahisi hivyo...!!??
Jamani naskia raha kuona wanafiki wamekuja kivingine[emoji1787][emoji1787], kumbe wivu sio kitu kizuriWachina watawajengea Hadi Ikulu muda si mrefu..alaf waitumie kwa miaka kadhaa before hawajawapa
Huoni utofauti Kati ya model yetu na model yenu.Standar chattered na AFDB wanajenga vipande vyao reli ndani ya nchi huru ya tanzania
Model na pesa ni zao, ile siku watakurupuka wazee wanaingia kila mtu kuchukua kipande chake..Huoni utofauti Kati ya model yetu na model yenu.
SGR ya Waturuki ndani ya nchi huru ya Tanzania.
Hahaha. Kama wangempa Mchina huu mradi basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.Kwanza ilishabuma hadi naskia wameanza kurudi kwa Mchina, wanamuita Mchina eti ndugu wao wa damu....
Hahaha. Kama wangempa Mchina huu mradi basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.
Wacha kujifurahisha SGR Tanzania hakutakuwa na toll service! Unaonyesha upopoma kumfananisha Mturuki na Mchina! Ficha upopoma!Waturuki watawajengea Hadi Ikulu muda si mrefu..alaf waitumie kwa miaka kadhaa before hawajawapa
kwaivo mtakua mnapanda bure? ThickheadWacha kujifurahisha SGR Tanzania hakutakuwa na toll service! Unaonyesha upopoma kumfananisha Mturuki na Mchina! Ficha upopoma!
Charges hazitamlipa mjenzi wa high speed electric SGR (the only one in thre EA) ipo na itakuwa chini ya umiliki wa TRC! Ndo maana haiitwi Toll!kwaivo mtakua mnapanda bure? Thickhead
Barabara ya wachina ndani ya nchi huru ya Kenya
Station zenu ni mbovu sana. Yuck. Kwenye hio video umeona jinsi station ya Soga inavyofanana? Walahi mnacheza nyinyi. Hebu rudi ukatazame hio station ya Soga kisha ukailinganishe na station za Kenya.Wacha kujifurahisha SGR Tanzania hakutakuwa na toll service! Unaonyesha upopoma kumfananisha Mturuki na Mchina! Ficha upopoma!