Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

Wachina wanalipua huo mradi gharama walizotaja ni tofauti na kijengwacho,wanakwenda kutengeneza faida maradufu kwa miaka 30,wachina si watu,wanakwambia tunajenga expressway ya ksh 500,hiyo ksh 500 tunaitoa sisi,lakini kwa ground wanajenga expressway ya ksh 60 ambapo wanaweka toll kwa hesabu ya ksh 500...[emoji1787][emoji24]

Then angalia pillars zinazojengwa hapo,then kaangalie kwenye render vitu ni tofauti kabisa
Kwn pillars za kw render ni za bei gani vile[emoji1787][emoji1787]
 
Wachina watawajengea Hadi Ikulu muda si mrefu..alaf waitumie kwa miaka kadhaa before hawajawapa
Jamani naskia raha kuona wanafiki wamekuja kivingine[emoji1787][emoji1787], kumbe wivu sio kitu kizuri
 
Kwanza ilishabuma hadi naskia wameanza kurudi kwa Mchina, wanamuita Mchina eti ndugu wao wa damu....
Hahaha. Kama wangempa Mchina huu mradi basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.
 
Hahaha. Kama wangempa Mchina huu mradi basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.

Mchina alikua afunge huu mtanange wa Kenya vs Tanzania, yaani ilikua alaze reli ya SGR Tanzania kote kote walahi!! Hii awamu ya tano ilivuruga na mpaka sasa sijui kitu gani wanachokifanya.
 
Wacha kujifurahisha SGR Tanzania hakutakuwa na toll service! Unaonyesha upopoma kumfananisha Mturuki na Mchina! Ficha upopoma!


Kwani SGR ya Kenya ndio ina na toll service? Kwani una kichaa?
 
Oh man....one guy posted one video about progress of a project in Kenya but all these bongos got triggered to a whole other dimension.

Y'all could have simply ignored the thread but your jealousness and hate couldn't let it slide

Thank you bongolalas for reminding us that you're a jealous people.
 
Barabara ya wachina ndani ya nchi huru ya Kenya

Hawa Wachina hiyo nchi yenu mwisho wataiteka mara mtakaposhindwa kulipa madeni yao!! Waulizeni wenzenu Djibouti na Sri Lanka mambo yaliyowafika!!
 
Wacha kujifurahisha SGR Tanzania hakutakuwa na toll service! Unaonyesha upopoma kumfananisha Mturuki na Mchina! Ficha upopoma!


Station zenu ni mbovu sana. Yuck. Kwenye hio video umeona jinsi station ya Soga inavyofanana? Walahi mnacheza nyinyi. Hebu rudi ukatazame hio station ya Soga kisha ukailinganishe na station za Kenya.
 
Back
Top Bottom