Progress ya Nairobi expressway

SGR ya Waturuki ndani ya nchi huru ya Tanzania.
Mturuki analipwa na TZ na tunamcontrol.To what extent unamcontrol mchina.Mturuki akimaliza atalipwa chake kilichobaki na kusepa wewe mchina anabaki kuchukua Tozo.Wenzenu tulijenga kigamboni bridge kupitia NSSF yes wanakusanya tolls ilipesa ya wastaafu ibaki salama wewe mchina anasepa na TozoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo ni kuwa nyie mnamcontrol Mturuki sana mpaka anashindwa kumaliza mradi. Dar-Moro ilistahili kukamilika November 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…